Mchawi wa CHADEMA ni Kukosekama mfumo wa kitaasisi na ugatuzi wa madaraka

Wagombea wa chadema wamepatikanaje?
 
Wagombea wa chadema wamepatikanaje?
Haiwahusu tulifanya chaguzi za kupata wagombea kwa njia za uwazi na malalamiko yote yalishughulikiwa na tukawapata wagombea kwa amani kabisa lakini kwa vile mna kiburi cha bunduki na mabomu mkaamua kuharibu uchaguzi. Mtabeba lawama zote.
 
MTU anaeunga mkono chadema,atakua ana matatizo makubwa ya kufikiri
 
Nani anauelewa mkakati wa CHADEMA kupitia mwenyekiti wakudumu FREEMAN MBOWE.
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hapa nchini tangu juzi pamekuwa na lawama zinazotoka CHADEMA tu huku vyama vya upinzani vingine kama CUF, ATC na Chama Tawala CCM kupitia wagombea walioteuliwa kwenye chaguzi hizo wakiwa safi na vikiwa vinaendelea salama. Mpango huu ni pangwa kabisa na unaratibiwa na watu (wanunua nchi) Kupitia MWENYEKITI HUYO toka nje baada na kutoa pesa ili kuweza kurubuni uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ukiangalia video clips zao zote zinazotolewa na CHADEMA ni kama tukio moja lililopangwa kwani wagombea wote wanatoa maelezo wakiwa wamekarirshwa mikakati hiyo ya kutorudisha fomu na kukosea kujaza form ili lawama zao zote zipelekwe kwa wizara husika inayosimamia nakuratibu masuala ya uchaguzi huu!! FACT NI MOJA tu FREEMAN MBOWE kashindwa kutekeleza mpango huo na kuna possibilty kabisa watu wakataka kurudishiwa pesa zao.

Sasa MBOWE anataka kuongea na waandishi wa habari kama njia ya kujisafisha kwa watu waliompa pesa, Njama hizi HAZITAFANIKIWA KAMWE.
 
Hapa bado naona tatizo ni elimu yako. Kama mikakati yao ni kuwanyima elimu muwe na ufahamu kdg, basi wamefanikiwa
 
Acha kupandikiza udini
 
Wamekuhack?
Mbona capacity yako ina fluctuate?
 
Mkubwa ili wote tuyajue haya kwa ukweli ukitupia japo fomu moja ya mgombea itapendeza zaidi kama sio kosa
 

Kama huna uhakika na unachoongea kaa kimya tu, ww unajua gharama iliyotumika? Kuanzia kwenye mihuri mpaka logistics zingine? Better ukae kimya
 

And whats this?
 
Kama huna uhakika na unachoongea kaa kimya tu, ww unajua gharama iliyotumika? Kuanzia kwenye mihuri mpaka logistics zingine? Better ukae kimya
kamanda huu ni uhakika
 
Heri ukae kimya mkuu unaongea uongo sana!

Halafu sometimes watu watakua hawakuchukulii serious at all!
ukweli hupuuzwa mwanzoni na una tabia ya ''kupanda ngazi taratibu''..wananchi wamechoka drama za vyama vya upinzani.
 
Haiwahusu tulifanya chaguzi za kupata wagombea kwa njia za uwazi na malalamiko yote yalishughulikiwa na tukawapata wagombea kwa amani kabisa lakini kwa vile mna kiburi cha bunduki na mabomu mkaamua kuharibu uchaguzi. Mtabeba lawama zote.
Kuna kila dalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…