Mchawi wa CHADEMA ni Kukosekama mfumo wa kitaasisi na ugatuzi wa madaraka


Ww mwenye free mind hebu tueleze impact yako kwenye hii nchi ili tuweze kuona faida uliyoleta kwa kuwa na free mind. Na isitoshe ni nani anaratibu hizo free mind ili kujiridhisha na usemacho?
 

Narudia tena nilichoandika sijakisema kwa bahati mbaya, ni vyema ww ukabaki kuangalia mchezo maana umeamua kuwa mtazamaji.
 
Hiyo hoja muflisi unayokomaa nayo kama uhalisia wa hisia zako ingeletwa na wanalumumba hapa nisingeshangaa hata kidogo, lakini inapotoka kwako nashusha uwezo wako kiasi cha chini sana japo yamkini nyakati hizi umeonekana dhahiri ukipoteza matumaini hivyo kuna hoja unakomalia ili mradi tu....
Safari bado Inaendelea na taifa litapata watu sahihi kuliongoza.
 
Utafiti wako ni Batili chadema wapo vizuri kila idara ndiyo maana CCM kutwa inawahujumu kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali kama chadema wangekuwa wapo Dhaifu ujue CCM wangeacha ijifie wenyewe.
 
Umeongea point kubwa Sana.Napenda hii comment uifungulie uzi wake itasaidia watu.
 
Utafiti wako ni Batili chadema wapo vizuri kila idara ndiyo maana CCM kutwa inawahujumu kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali kama chadema wangekuwa wapo Dhaifu ujue CCM wangeacha ijifie wenyewe.
utafiti hupingwa utafiti
 
Narudia tena nilichoandika sijakisema kwa bahati mbaya, ni vyema ww ukabaki kuangalia mchezo maana umeamua kuwa mtazamaji.
Huna ujuacho ni ramli na hoja zimekuisha tu, umekimbilia kwenye hoja dhaifu ya kihisia iliyoratibiwa Lumumba tangu enzi zile cuf ilipoonekana tishio kwa siasa za Tanzania.
Hisia za kuishiwa hoja unaleta habari za dini kujipa ahueni lakini huna ujuacho kwa hakika. Hata walio upande wako hawajakuunga mkono kwa hoja hii ya kugawa wananchi.
Watanzania wasioongozwa na mihemko watalikomboa taifa.
 

Mkuu hebu nionyeshe ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu ili nione msiongozwa na mihemko mtalikomboa vipi taifa. Sihitaji kuungwa mkono na yoyote maana sitaki kuwa kiongozi wa mtu yoyote. Labda ww ndio unahitaji kuungwa mkono kwenye ukombozi wa taifa.
 
Kama huo ndo ukweli hata CCM isingekuwa madarakani
 
Huu ni ukweli mchungu ambao hawapendi kuusikia taasisi kubwa kama hiyo inakuwaje mtu mmoja ahodhi madaraka na mamlaka yote mikononi mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…