Hata shida za waafrika zinasababishwa na Waafrika wenyewe. Mara ngapi tunaona viongozi wa Afrika wakiimba hela na kuzificha kwa wazungu, wanaingia mikataba feki, wanauza Twiga wazimawazima, wanauza kigamboni yote, Wana sera za honyo, nk.Hii mada ya hovyo sana,
Mtu,jamii ya watu waliteswa na mifumo,siku zote na wao watatesa wengine,ukisema mchawi wa mwanamke ni mwanamke,basi hata mchawi wa Mtu mweusi ni mweusi mwenzie!
Haivi umeishawahi kuona watu wanapoishi uswahili wanavyochukiana Richa ya kwamba wote ni mafukara?!!
Mchawi wa mwanamke ni mfumo uliomfsnya hivyo,maana hata mwanamke mwenzie ni muhanga wa mfumo,
Kibaka akiiba kuku,anapigwa mpaka afe,fisadi akiiba bilioni 5!hakuna maskini wa kwenda hata masaki arushe jiwe kwenye nyumba yake,
Wanawake ni victim wa mfumo,
Madume ya binadamu tumejaaliwa akili kuliko madume ya Simba na wanyama wengine.Kwahiyo unataka kusema kupitia uzi wako wanaume tunatakiwa kujaza mimba na kupita na hamsini zetu kama dume la simba
Ongeza SAUTI KIDOGO.Critical thinking haimaanishi ufikirie sawa na wengine bro. Wanawake wanadai uhuru kutoka kwa watu wasiostahili, Mungu wao tayari ameshawapa uhuru siku moja pamoja na viumbe wengine. Hawahitaji huruma, msaada wala ruhusa za wanaume ili wawe wanachotaka kuwa kama vile wanaume wasivyohitaji ruhusa za wanawake ili wawe wanavyotaka kuwa. Makutano muhimu ya pekee ya mume n mke ni wakati wa kutafuta mimba baaasi. Mwanamke anaweza kuwa bondia, askari, rubani, msukuma mkokoteni, mwashi, mwindaji. nk kama mwanaume, ni yeye tu. Mim nikiwasikia wanalala majukwaani wanadai pedi za kike nacheka sana, viti maalumu, madawati ya kijisia, ukeketaji. Nk
Kila kitu wanalia na wanaume, mara hawatupi matunzo, mara hawatupi Pedi, mara wametupa mimba, mara waache kutembea na makahaba ili wakose soko, mara tupeni viti maalum, nk nk nk. Kama uhuru wao ni lazima wapewe na wanaume basi hawataupata milele.Wenzako wanashukuru siku hizi wakiolewa maana Hali mbaya wanataka hata waolewe wakiwa kumi