Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Kuna siku nilikua namuangalia mpoki dstv anafanya stand up comedy jamaa kuchekesha hajui zaidi kutania watu maumbile yao mfano alianza kuwaongelea hovyo watu wenye meno ya sungura mpk ukimbi mzima baada ya kucheka wakawa wanamshangaa
Mi naona mpoki ni bora zaidi, lengo la kuchekesha ni pamoja na kuongelea uhalisia uliopo na sio kutunga vitu vya kufikirika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Shida ya uchekeshaji wa bongo umebase sana kwenye kuongea ongea kiasi mtu kama hajui kiswahili ngumu kuelewa comedy zetu za kusimuliana story za shule ya msingi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wajifunze tu icho kiswahili nao mbona sie kingereza tulijifunza
 
Mie MCHEKESHAJI nayemkubali

TIny White (Zunde) jamaa anajua.

Wapili nimemsahau jina ni upcoming yule anajielewa anafanya standup comedy and recently nahis ana event ya kuchekesha kwa kiingereza.
 
Unashida akilini kila kitu sio lazima upinge sio ujanja ni ushamba tu
Anachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefu

Haya ni maoni yangu na 75% yana ukweli
 
Joti mbona simuelewagi mimi?
Sasa wewe humuelew Joti,halafu mtu akimkataa huyo jamaa yako unamwita mchawi utakua na matatizo asee,
Binafsi kwa bongo,Hakuna mchekeshaji ameweza kustand out kufanya vizur comedy kwa muda mrefu km Joti mpk leo hakuna bora zaid yake

Hao wachekeshaji wa Cheka tu na Wale wengne huwa wanakua na content mwanzoni ila huisha mapema wanakua kawaida sana
 
Anachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefu

Haya ni maoni yangu na 75% yana ukweli
Wataelewa basi , na possibly jamaa amekuja kujipromote humu , hajui kuwa ukija humu unafukunyuliwa ubora na udhaifu wako , so uwe na moyo wa kukubali mapungufu na uimara wako.. !!
 
Anachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefu

Haya ni maoni yangu na 75% yana ukweli
Wewe utakuwa ni joti
 
Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure
Mada za kuchekesha ni zipi kaka? Tueleweshe
 
Back
Top Bottom