Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona mpoki ni bora zaidi, lengo la kuchekesha ni pamoja na kuongelea uhalisia uliopo na sio kutunga vitu vya kufikirikaKuna siku nilikua namuangalia mpoki dstv anafanya stand up comedy jamaa kuchekesha hajui zaidi kutania watu maumbile yao mfano alianza kuwaongelea hovyo watu wenye meno ya sungura mpk ukimbi mzima baada ya kucheka wakawa wanamshangaa
Wajifunze tu icho kiswahili nao mbona sie kingereza tulijifunzaShida ya uchekeshaji wa bongo umebase sana kwenye kuongea ongea kiasi mtu kama hajui kiswahili ngumu kuelewa comedy zetu za kusimuliana story za shule ya msingi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Anajishughulisha na Nini hadi mnampost huku?Uyo uyo
Kwahiy mchekeshaji ni bola umtanie kilema ili ufurahishe wengineMi naona mpoki ni bora zaidi, lengo la kuchekesha ni pamoja na kuongelea uhalisia uliopo na sio kutunga vitu vya kufikirika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
unapenda kung'ang'ania wanaume...Matusi kwetu ni salamu. Taja jina la mchekeshaji wako anayechekesha kwa kuongelea rocket science. Unazidi kujichoresha kiboya
Anachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefuUnashida akilini kila kitu sio lazima upinge sio ujanja ni ushamba tu
Sasa wewe humuelew Joti,halafu mtu akimkataa huyo jamaa yako unamwita mchawi utakua na matatizo asee,Joti mbona simuelewagi mimi?
Wataelewa basi , na possibly jamaa amekuja kujipromote humu , hajui kuwa ukija humu unafukunyuliwa ubora na udhaifu wako , so uwe na moyo wa kukubali mapungufu na uimara wako.. !!Anachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefu
Haya ni maoni yangu na 75% yana ukweli
Wewe utakuwa ni jotiAnachosema jamaa sio uchawi ni ukweli, huyo mshkajj anabahatisha bahatisha tu,nimemuona kwny YouTube ya Steve Mweusi kawaida sana,hayuko promising kabsa,siwez kusema anaweza kudumu kwny comedy kwa mda mrefu
Haya ni maoni yangu na 75% yana ukweli
Tangu ze komedi ya eatv ice, joti hajawahi kunichekesha.stand up comedy TZ hatuna watu. Ila generally , Joti ataendelea kuwa the best
TxDullahSimfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedyView attachment 2563618
Youtube..andika txdullahKazi zake zinapatikana wapi?
Youtube..andika txdullah
Mada za kuchekesha ni zipi kaka? TuelewesheTanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure