TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

...kumbe ulilijua hilo eeeh, ndo maana katika uzi huu nguruwe amekuwa mmoja tu ...
Nguruwe aliyesema kuwa ni best comeadian in East Africa siyo!🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Mnacheza na comedy ninyi. Industry ya acting Bongo bado sana na wenye upeo finyu tu ndiyo wanaofurahia. Kwenye kundi la mashabiki wake utakuta ma-bar maid, ma-house girls, waendesha boda boda.... you name it.
 
Habari ipo nusu nusu lkn apumzike kwa amani amefanya kazi kubwa sijui nani ataziba pengo lake..
 
Nguruwe aliyesema kuwa ni best comeadian in East Africa siyo![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]. Mnacheza na comedy ninyi. Industry ya acting Bongo bado sana na wenye upeo finyu tu ndiyo wanaofurahia. Kwenye kundi la mashabiki wake utakuta ma-bar maid, ma-house girls, waendesha boda boda.... you name it.
take it in vain meeeen! Kumbe wewe ndiyo pig mwenyewe dah!!! sikujua bana!!!!
 
take it in vain meeeen! Kumbe wewe ndiyo pig mwenyewe dah!!! sikujua bana!!!!
Haa haa. Unaona aibu kwa kushabikia vitu vya class ya chini namna hiyo? Kwa kifupi viwanja wa huko baki na ma-house girls.... mimi comedy zangu hata hiyo lugha huwezi kuielewa...
 
poleni sana wana kashkash group kwa msiba mkubwa wa kupoteza mwenzenu lkn pia kwa washabiki wake wote nikiwemo mimi.
huwa sikosi kipindi cha kashkash kila siku ya J.pili saa mbili na nusu ITV.

Mzee Matata amefanya kazi kubwa sana ya kuelimisha jamii kupitia maigizo yao.

Apumzike kwa amani.
Huwa hukosi hicho kipindi kweli? Nina mashaka na wewe,,, maana wakati huo kuna taarifa ya habari.
 
Apumzike kwa amani mzee huyu.

Ila chelewa chelewa hii ikiyahusu pia yale mambo yetu ya chanjo, tutakuja kuta wana si wetu.
Sorry, una maana tunachelewa kufa tutakuja kuta wana si wetu ?, ukitaka kutangulia unaweza hakuna mtu anakuzuia
 
Sorry, una maana tunachelewa kufa tutakuja kuta wana si wetu ?, ukitaka kutangulia unaweza hakuna mtu anakuzuia

Kabisa, acha nipate chanjo ili niwahi huko ili wewe ubaki kama mzee baba mwenyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaa,huyu mzee alikuwa ananipa raha sana kwa kweli,
R.I.P Mzee Matata,mungu akupe pumziko la milele
 
Back
Top Bottom