TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

RIP Mzee Matata

Ila mwambie Mkwere aache kufanya maigizo kwenye msiba wa mwenzake, unawezaje kuwa unalia halafu unajirekodi, huo muda wa kuwaza camera kwenye uchungu unaupata wapi?
 
Dah, RIP. Pigo sana kwa kundi lile. Hawa jamaa ndio comedians ninaowakubali na kuwaangalia kila jpili.
 
Pumzika kwa amani Mzee Matata, nilipenda sana kamwili kake (labda sababu ya mimi kuwa mnene) nikamini ukiwa mwembamba unakuwa na afya njema na hivyo utaishi maisha mrefu, kumbe nilikuwa nanjidanganya!
 
R.I.p mzee matata daima tutakukumbuka
Maigizo yako yamekua sehemu kubwa ya elimu mafundisho na hasa burudani


Tutakukumbuka daima
 
Apumzike kwa amani

Dah kwenye michezo yake alikuwa
Mtata sana

Ova
 
Mm n fan mkubwa sana na hii mizengwe toka enz za max masele na zembela hadi mkongo, sumaku, Safina, mkwere na hayati matata

Daaah binafsi nimeumia sana,
Mzee wa karate, au akiigiza mbeyambeya sector yeyote ile alikua anafit sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom