TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

Rip mzee mtata...kamfata mwanzilishi wa kipindi cha mizengwe...marehem Max !!

Zembwela nae simsikii
 
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June

========

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2021 Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar alipokuwa amelazwa kwa matibabu toka Juni 13, 2021..

Kwa mujibu wa mwigizaji maarufu nchini, @madebelidai, mazishi ya Mzee Matata yatafanyika kesho kwenye Makaburi ya Buguruni,Malapa jijini Dar.

“Mwanatasnia mwenzetu Mzee Jumanne Alela (Mzee Matata) yatafanyika kesho saa saba mchana kwenye Makaburi ya Buguruni-Malapa.

“Msiba upo kwa ndugu zake, Chamazi kwa Mkongo (jijini Dar),” taarifa kutoka kwa @madebelidai.

Chanzo: Global Publishers
Enabana dah!!!!
"You can make talent professional, but you can't make professional talent". Mizengwe ni kundi Bora la comedy kuwahi tokea hapa Bongo na East Africa. R.I.P Mzee wetu...
 
Du vichekesho au maigizo ya Bongo kwa ujumla ni pasua kichwa. Hivi kuna watu wanakaa kabisa mbele ya TV kuangalia upuuzi huu?
"You can make talent professional, but you can't make professional talent". Mizengwe ni kundi Bora la comedy kuwahi tokea hapa Bongo na East Africa. R.I.P Mzee wetu...
 
"You can make talent professional, but you can't make professional talent". Mizengwe ni kundi Bora la comedy kuwahi tokea hapa Bongo na East Africa. R.I.P Mzee wetu...
Yep. According to you! Different people, different ''mental classes''. Hata nguruwe ana chakula chake favourite ati!
 
Back
Top Bottom