TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

...kumbe ulilijua hilo eeeh, ndo maana katika uzi huu nguruwe amekuwa mmoja tu ...
Nguruwe aliyesema kuwa ni best comeadian in East Africa siyo!🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Mnacheza na comedy ninyi. Industry ya acting Bongo bado sana na wenye upeo finyu tu ndiyo wanaofurahia. Kwenye kundi la mashabiki wake utakuta ma-bar maid, ma-house girls, waendesha boda boda.... you name it.
 
Habari ipo nusu nusu lkn apumzike kwa amani amefanya kazi kubwa sijui nani ataziba pengo lake..
 
take it in vain meeeen! Kumbe wewe ndiyo pig mwenyewe dah!!! sikujua bana!!!!
 
take it in vain meeeen! Kumbe wewe ndiyo pig mwenyewe dah!!! sikujua bana!!!!
Haa haa. Unaona aibu kwa kushabikia vitu vya class ya chini namna hiyo? Kwa kifupi viwanja wa huko baki na ma-house girls.... mimi comedy zangu hata hiyo lugha huwezi kuielewa...
 
Huwa hukosi hicho kipindi kweli? Nina mashaka na wewe,,, maana wakati huo kuna taarifa ya habari.
 
Apumzike kwa amani mzee huyu.

Ila chelewa chelewa hii ikiyahusu pia yale mambo yetu ya chanjo, tutakuja kuta wana si wetu.
Sorry, una maana tunachelewa kufa tutakuja kuta wana si wetu ?, ukitaka kutangulia unaweza hakuna mtu anakuzuia
 
Sorry, una maana tunachelewa kufa tutakuja kuta wana si wetu ?, ukitaka kutangulia unaweza hakuna mtu anakuzuia

Kabisa, acha nipate chanjo ili niwahi huko ili wewe ubaki kama mzee baba mwenyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaa,huyu mzee alikuwa ananipa raha sana kwa kweli,
R.I.P Mzee Matata,mungu akupe pumziko la milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…