Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyu ni mchekeshaji raia wa Kenya Eric Omond na hiyo picha nyingine ni mtoto ambaye amemkana kupita social networks akidai sio wake mpaka pale watakapopima DNA.
Wanaume wakati mwingine tuonage aibu basi. Case study: inspector Omary Mahita.
======
Alichoandika Eric Omondi katika ukurasa wake wa Instagram
======
Wanaume wakati mwingine tuonage aibu basi. Case study: inspector Omary Mahita.
======
Alichoandika Eric Omondi katika ukurasa wake wa Instagram
======