Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

Wangeweka na picha ya Sam. WA TZ tuna DNA ya macho wamuulize Hamisa na Zari.
 
Kwa akili ya kawaida tu, unadhani kuna watoto wangapi huko Kenya wana macho yanayofanana na Omondi?

Maana kama ni hivyo basi Shetta atakuwa ni mtoto wa Kamanda Kova...

hao watoto wote mama zao wametemnea na erick[emoji23]

mahakamani huwa kuna ushahidi wa kimazingira,ukiona tuhuma na mazingira vyote vimekuangukia basi jua una mkosi[emoji1787]
 
Ila watanzania ni wavivu sana kusoma, Uzi umeelezea kila kitu Ila mtu unauliza Tena walishawah kudate

We nae acha kukurupuka

Unadhani angeandika walishawahi kudate ningeuliza?
Ame-edit uzi wake
 
Uyu mwanamke Ni muhuni,
Kamnyoa Kama baba ake ili waonekane wanafanana.

Kwanini anakwepa kupima dna?
 
Hii ya kulea bao la mtu kwangu hapana aisee[emoji848]

Jamaa ashikilie hapo hapo,

Uyu mwanamke asitafure huruma asiyostahili.
 
Back
Top Bottom