Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

Kwa akili ya kawaida tu, unadhani kuna watoto wangapi huko Kenya wana macho yanayofanana na Omondi?

Maana kama ni hivyo basi Shetta atakuwa ni mtoto wa Kamanda Kova...
Ile hutafuti pale.
 
Mtu hataki kuwa kwenye maisha ya mwanao, wewe unaforce. Hivi wakina mama wengine wanapenda watoto wao kweli?

Do you really want this person asiyemtaka mwanao wholeheartedly apate access to him/her? Maana usitegemee atatoa tu pesa, kuna wakati atamchukua mwanao, kuna wakati ataishi naye siku mbili tatu. Sasa kama hampendi kwa moyo wote utawezaje kumuacha naye?
 
"after a few bottles of whiskey" possibly hakukuwa na umakini wa kuvaa mpira.

Na kama huyo Demu alikuwa na mission yake ndio kabisa. Huenda jamaa alithibitisha Kinga ipo lakini hata haikuvaliwa.
 
Mtu hataki kuwa kwenye maisha ya mwanao, wewe unaforce. Hivi wakina mama wengine wanapenda watoto wao kweli?

Do you really want this person asiyemtaka mwanao wholeheartedly apate access to him/her? Maana usitegemee atatoa tu pesa, kuna wakati atamchukua mwanao, kuna wakati ataishi naye siku mbili tatu. Sasa kama hampendi kwa moyo wote utawezaje kumuacha naye?
Kama hujawahi check youtube paternity court. Unakuta mwanamke ametembea na wanaume wanne tofauti kwenye window of conception hapo anabahatisha tu baba wa mtoto
 
Kama ndiyo hivyo haikuwa na haja, maana huwezi jua DNA ikachakachua utajuata baadae.
DNA Haiwezi kuchakachua Bali watu wanaweza kuchakachua na si jambo rahisi kama unavyoweza kufikiria.
 
Back
Top Bottom