Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi amkana mtoto hadi vipimo vya DNA vitakapofanyika

DNA Haiwezi kuchakachua Bali watu wanaweza kuchakachua na si jambo rahisi kama unavyoweza kufikiria.
Kama mwanamke umeishi nae pika pakua, na mtoto kwa sura tuu mnarandana hata kidogo yanini DNA hebu fikiri baadae ajue ulimkataa na sasa unaitaji msaada wake.
 
Hapana, ila mfano tuna date na ukapata ujauzito na product iliyotoka ikawa inafanana nami, naanzaje kumkana mtoto?
Mkuu umeyaelewa waelezo ya jamaa mbona yapo wazi huyo dem anakwama wapi kuruhusu mtoto apimwe kama anauhakika. Tendo la siku moja tena wametumia kinga? anyway tufanye kwa kuwa walilewa labda ilipasuka bila Omond kujua dada analazimishaje matumizi bila kupima na wakati alikuwa anatoka na jamaa mwingine? mfanano sio shida kwa kuwa hatujamuona huyo jamaa mwingine
 
Kama mwanamke umeishi nae pika pakua, na mtoto kwa sura tuu mnarandana hata kidogo yanini DNA hebu fikiri baadae ajue ulimkataa na sasa unaitaji msaada wake.
kwani hujasikia ya mume kuishi na mke miaka kenda, siku mtoto amepata ajari baba anajitoa kumchangia mtoto damu daktari anasema haziendani. Baba kupata mashaka akachukua hatua zaidi hadi DNA TEST heeeh Vinasaba haviendani. Walikua na watoto watatu basi ikabidi baba atest na kwa wawili waliobaki majibu yakatoka hawafanani vinasaba. Baba kachanganyikiwa baadae mke anakuja kusema ukweli kuwa rafiki wa mume ndiye alikuwa akimsaidia rafiki yake kujaza ulimwengu kwa miaka yote hiyo. So kupima DNA ni jambo jema hasa pale unapokuwa na mashaka na mwenza wako. Japo kitanda hakizai haramu lakini ni muhimu kwa mtoto kumjua baba yake halisi.
 
Kama hujawahi check youtube paternity court. Unakuta mwanamke ametembea na wanaume wanne tofauti kwenye window of conception hapo anabahatisha tu baba wa mtoto
Sipingi hii fact na wala comment yangu haikuelekea huko. My point is, hata kama huyu Erick ni baba wa mtoto wake, why is she struggling kumleta kwenye maisha ya mwanae ilhali ni wazi kuwa hamtaki?

Yaani hata wakifanya DNA akahakikisha ni mwanae, how is she comfortable letting him near her son wakati ashaonesha hali ya kumkataa.

She should accept alizaa na mtu asiye sahihi achape lapa.
 
Lakini sio lazima mtoto awe wake,umuhimu wa DNA upo kama muhusika ana uhakika sio damu yake

Joanah muhurumie mtoto wa watu.......
 
Sipingi hii fact na wala comment yangu haikuelekea huko. My point is, hata kama huyu Erick ni baba wa mtoto wake, why is she struggling kumleta kwenye maisha ya mwanae ilhali ni wazi kuwa hamtaki?

Yaani hata wakifanya DNA akahakikisha ni mwanae, how is she comfortable letting him near her son wakati ashaonesha hali ya kumkataa.

She should accept alizaa na mtu asiye sahihi achape lapa.
Inawezekana ni mtu sahihi ila hataki tu kulea mtoto halafu baadae ajue sio wake. Bora mambo yakae sawa ndio aendelee sidhani kama hatompenda mtoto wake kama ni wake kweli.
 
Inawezekana ni mtu sahihi ila hataki tu kulea mtoto halafu baadae ajue sio wake. Bora mambo yakae sawa ndio aendelee sidhani kama hatompenda mtoto wake kama ni wake kweli.

Na mpira umeishia hapa.
 
Mkuu umeyaelewa waelezo ya jamaa mbona yapo wazi huyo dem anakwama wapi kuruhusu mtoto apimwe kama anauhakika. Tendo la siku moja tena wametumia kinga? anyway tufanye kwa kuwa walilewa labda ilipasuka bila Omond kujua dada analazimishaje matumizi bila kupima na wakati alikuwa anatoka na jamaa mwingine? mfanano sio shida kwa kuwa hatujamuona huyo jamaa mwingine
Jamaa maelezo yake yapo wazi , kama ni picha watume picha hata Mia , kama manzi hataki DNA ni kuingizana kwenye matatizo , kulea kojo la mwenzako miyeyusho Sana
 
Jamaa maelezo yake yapo wazi , kama ni picha watume picha hata Mia , kama manzi hataki DNA ni kuingizana kwenye matatizo , kulea kojo la mwenzako miyeyusho Sana
Hata mimi ningegoma aisee

Yaan mzingo mara1 na ana lijamaa lake halafu hataki DNA?

Akafie mbele
 
kwani hujasikia ya mume kuishi na mke miaka kenda, siku mtoto amepata ajari baba anajitoa kumchangia mtoto damu daktari anasema haziendani. Baba kupata mashaka akachukua hatua zaidi hadi DNA TEST heeeh Vinasaba haviendani. Walikua na watoto watatu basi ikabidi baba atest na kwa wawili waliobaki majibu yakatoka hawafanani vinasaba. Baba kachanganyikiwa baadae mke anakuja kusema ukweli kuwa rafiki wa mume ndiye alikuwa akimsaidia rafiki yake kujaza ulimwengu kwa miaka yote hiyo. So kupima DNA ni jambo jema hasa pale unapokuwa na mashaka na mwenza wako. Japo kitanda hakizai haramu lakini ni muhimu kwa mtoto kumjua baba yake halisi.
DNA ya kwanza kbs ni Mama, Mama yeye anajua sana Baba wa mtoto mkuu.
 
DNA ya kwanza kbs ni Mama, Mama yeye anajua sana Baba wa mtoto mkuu.
hivi umeelewa hiyo stori vizuri hapo juu? DNA ya mtoto ni mama
je? Umejiuliza inakuaje mama akiamua kusema uongo kwa manufaa yake binafsi. Na Hapo ndiyo umuhimu wa DNA unakuja, kuwa makini sana na maisha haya ukijiona wewe ni mwaminifu kupitiliza usifikiri dunia nzima iko hivo. Jambo la kukushauri amini nafsi yako tu.
 
Kukwepa kupima DNA Ni wazi mwanamke anajua anachokifanya hivyo pona yake ni kugomea Hilo zoezi,, omondi yuko sahihi kabisaa
 
anasema walikuwa wamekunywa, anajuaje kama ilichomoka na mwanamke ana uhakika? na mwanamke naye anaogopa nini kupima? mbona kitu simple tu? mimi mwenyewe nisingependa kutunza mtoto ambaye sina uhakika kama ni wa kwangu. tuwe wakweli.
 
Mtu hataki kuwa kwenye maisha ya mwanao, wewe unaforce. Hivi wakina mama wengine wanapenda watoto wao kweli?

Do you really want this person asiyemtaka mwanao wholeheartedly apate access to him/her? Maana usitegemee atatoa tu pesa, kuna wakati atamchukua mwanao, kuna wakati ataishi naye siku mbili tatu. Sasa kama hampendi kwa moyo wote utawezaje kumuacha naye?
Ina maana hujasoma kilichoandikwa au unajitoa ufahamu tu, huyo mwenzako kwanini anakataa msema ukweli DNA? maslay queen si wa kuwaamini wao wanaangalia fursa tu hawana cha mapenzi, si mumemsikia mwingine alikuwa anapika na kupakua kwa yule gavana Mutua kwa miaka 8, akamchuna gavana na kwenda kwa kijana mwenzie, Mutua ameshtuka kachukua hadi gari alilomnunulia na hisa za kwenye makampuni yaliyokuwa yao, huyo mdada kwa ujinga anadai hajawahi kuwa mke wa Mutua bali alikuwa tu kimada wa muda mrefu,sasa kama wewe kimada unadai mimali ya nini?si umeamua kukimbia na hata kuzaa hakutaka, maslay queen hasa hawa wanaojifanya matawi ya juu ni wa kuwaogopa kama gonjwa la COVID.
 
Waswahili wanasema kitanda hakizai haramu, lkn waswas ndyo akili.........kila la her kwake

Akithbitka n wake mnh! ..........
 
Swali la msingi ni kwanini huyo mwanamke anakataa kupima DNA...?
 
DNA inawaumbua sana wanawake siku hizi, matokeo yake wamebaki kulea peke yao watoto waliozaa na vibaka kutokana na tamaa zao za kijinga. Mtu anashinda kujirusha na vibaka na wauza madawa ya kulevya, akishika mimba anaachwa njia panda na kuanza kuwehuka kutafuta mwanamme aliyetulia ili ambambikie mtoto na kumpa majukumu ambayo vibaka na wauza unga wameyakimbia.
 
Hata kama mtoto ni wa Eric kitendo cha huyo manzi kukataa kupima kinachora picha mbaya sana kwake.
Halafu huyo bwana Sam Ogina ana hali gani? 😄
 
Back
Top Bottom