Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hapana, ila mfano tuna date na ukapata ujauzito na product iliyotoka ikawa inafanana nami, naanzaje kumkana mtoto?Kumbe ukifanana na mtu lazima awe mwanao ee?
Hapana, ila mfano tuna date na ukapata ujauzito na product iliyotoka ikawa inafanana nami, naanzaje kumkana mtoto?
nimejichukulia mm kama mm huwa siwez ku date bila kumla mwanamke sijui kwa upande wako jomba.Kulala na mwanamke sio ku-date mwamba.
nimejichukulia mm kama mm huwa siwez ku date bila kumla mwanamke sijui kwa upande wako jomba.
Na macho wanayafanyaje kwa kinyozi mmoja?Kitu pekee wamefanana labda ni wote kumtumia kinyozi yuleyule
Na macho wanayafanyaje kwa kinyozi mmoja?
Ni kwamba,Omondi hamuamini huyo bibie.Maana wanawake wakiziona fursa huwa Wana mahesabu ya kiwango cha ujiniazi.Na macho wanayafanyaje kwa kinyozi mmoja?
Loh! Hii kali, eti Shetta na Kova [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa akili ya kawaida tu, unadhani kuna watoto wangapi huko Kenya wana macho yanayofanana na Omondi?
Maana kama ni hivyo basi Shetta atakuwa ni mtoto wa Kamanda Kova...
Lakin huo mfano niliotoa nilikuwa najizungumzia mm mkuuHii thread haikuhusu wewe, ni Eric Omondi.
Birds with the same feathers always fly together.Kwa akili ya kawaida tu, unadhani kuna watoto wangapi huko Kenya wana macho yanayofanana na Omondi?
Maana kama ni hivyo basi Shetta atakuwa ni mtoto wa Kamanda Kova...
Alishawahi kudate na Omondi huyo dada?Hapana, ila mfano tuna date na ukapata ujauzito na product iliyotoka ikawa inafanana nami, naanzaje kumkana mtoto?
Ndio tena pika pakua.Alishawahi kudate na Omondi huyo dada?