GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Disparated women huyo, ni mtego kwa mazumbukuku anatafuta pa kufia..Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Ndiyo maana Wahuni tukipata bahati tu ya kukutana na Waongo na Wanafiki kama huyu huwa tunapita nao kote kote!!!!
Mzeya kumbe rough road unapenda.Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Ndiyo maana Wahuni tukipata bahati tu ya kukutana na Waongo na Wanafiki kama huyu huwa tunapita nao kote kote!!!!
Kanikera mno huyu Dada. Yaani hata ukimtazama tu Pichani anaonyesha Keshakazwa mpaka Mbunye imebadili muelekeo wake wa Kimuundo.Connection ya kuigiza aliipata bila kuliwa?
Rough Road kukiwa kuzuri kwa Mwonekano si mbaya kupita kwani na kwenyewe kuna Utamu usiosimulika. Simba SC wasiache tu hao Wachezaji sijui 13 bali Mimi nashauri waache Wachezaji wote mpaka na Viongozi nao waondoke na Sisi Mashabiki pia tuondoke ili kusiwepo kabisa na Timu ya Kipuuzi kama ya Simba SC.Mzeya kumbe rough road unapenda.
Ebwana vipi simba kweli inaacha wachezaji 13?
Ewaaah....Rough Road kukiwa kuzuri kwa Mwonekano si mbaya kupita kwani na kwenyewe kuna Utamu usiosimulika. Simba SC wasiache tu hao Wachezaji sijui 13 bali Mimi nashauri waache Wachezaji wote mpaka na Viongozi nao waondoke na Sisi Mashabiki pia tuondoke ili kusiwepo kabisa na Timu ya Kipuuzi kama ya Simba SC.
Imagine πConnection ya kuigiza aliipata bila kuliwa?
π€£π€£Rough Road kukiwa kuzuri kwa Mwonekano si mbaya kupita kwani na kwenyewe kuna Utamu usiosimulika. Simba SC wasiache tu hao Wachezaji sijui 13 bali Mimi nashauri waache Wachezaji wote mpaka na Viongozi nao waondoke na Sisi Mashabiki pia tuondoke ili kusiwepo kabisa na Timu ya Kipuuzi kama ya Simba SC.
πBila shaka hata dawa za kufubaza UKIMWI anatumia yule, maana mwili wake ni kama mkate vile ππ
Umeona eeeh!Wale wasanii usiwachukulie serious sana