Mchekeshaji Madame Pink: Sijawahi kukutana kimwili na mwanaume

hata sio sifa nzuri kwa sasa
 
Mtu akishakuwa msanii elewa kila analosema na kutenda ni sanaa, huyu wa kuchekesha nae hivyohivyo ni sanaa yake hiyo, hapo anategemea watu wacheke ndio kazi yake. Sasa jichanganye
 
Kila msanii wa kike akiulizwa kuhusu mahusiano anasema yeye bikra ☺️nchi ngumu sana hii
 

Haya bana, lakini huyo m'mama ana watoto wa3
 
Kweli urembo uko machoni kwa mtu, kajijaza hiyo minywele ya kukaa nayo kichwani mwezi mpaka yanatoa harufu
Huyo kwa mimi usiku mbona anatisha....
 
Wengi wanaosema hivyo wanakuwa wameathirika kisaikolojia, kutokana na kupigwa tukio kwa mahusiano yaliyopita.​
 
Kwakuwa ni Muigizaji wa maigizo basi tumekubali.
 
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
Inawezekana anayo bikra bandia maana madawa ya Wachina yapo.

Kikubwa ukiamua kwenda kuthibitisha ukiikuta usidanganyike mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…