Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Ni hatua nyingine nzuri kwa wasanii wa comedy, kila lakheri.
BMW 3 series E90 ilianza kutengenezwa mwaka 2005 hadi 2013. Kwa picha aliyotuwekea ni generation kabla ya facelift ya mwaka 2009, na taa izo sio za 2005.
Kila lakheri Mtumishi.