Mchekeshaji Mtumishi Obama nae ajizawadia gari BMW 3 Series, E90 320i

Mchekeshaji Mtumishi Obama nae ajizawadia gari BMW 3 Series, E90 320i

Dah kweli mkuu mana ukitazama n8 gari nzuri hata kwa muonekano ila zilivojaa garage hadi unaogopa
maisha haya endi hivyo Sasa, mwingine kufeli haimaanishi wote hatuto weza.

Una tafuta taarifa sahihi, ikiwa ndio au hapana, kisha una jipima uwezo wa kuhimili kuanzia kuendesha, kuli hudumia, mpaka kuli tunza home.
 
ushamba wa simu tu,gari si lake?
Mi toka kulazwa icu pale muhimbili kwasasa natembea kwa mguu tu au baskeli au bolt
Nilipiga mzinga balaa nikaandikiwa kifo huku napumua.
polisi fire pale.

Doctor muhindi yule angetupeleka mortuary tungekufa.
alitupa drip za maji na damu siku 3
Ndo naamka yaani
 
Back
Top Bottom