covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,355
- 20,792
Haizidi 16 labda km amechukua kwa mkopoHapa itakua 16-18 akipigwa 20.
Haizidi 16 labda km amechukua kwa mkopoHapa itakua 16-18 akipigwa 20.
Mazda ni ghari zaidi ila zote ni umiza vichwa isee garage itageuka km dukani kwa mangiWakuu sasa kati ya hiyo na Mazda cx5 ipi bora?
Mkuu mana hizi Mazda cx 5 namba E ni nyingi huku garage thus nimeomba ulinganifu je zinakua na shida ganiMazda ni ghari zaidi ila zote ni umiza vichwa isee garage itageuka km dukani kwa mangi
mazoea ya mafundi tu, ila ukipata garage nzuri haina shida kabisa.Mkuu mana hizi Mazda cx 5 namba E ni nyingi huku garage thus nimeomba ulinganifu je zinakua na shida gani
Dah kweli mkuu mana ukitazama n8 gari nzuri hata kwa muonekano ila zilivojaa garage hadi unaogopamazoea ya mafundi tu, ila ukipata garage nzuri haina shida kabisa.
maisha haya endi hivyo Sasa, mwingine kufeli haimaanishi wote hatuto weza.Dah kweli mkuu mana ukitazama n8 gari nzuri hata kwa muonekano ila zilivojaa garage hadi unaogopa
Sahihi mkuu thanks againmaisha haya endi hivyo Sasa, mwingine kufeli haimaanishi wote hatuto weza.
Una tafuta taarifa sahihi, ikiwa ndio au hapana, kisha una jipima uwezo wa kuhimili kuanzia kuendesha, kuli hudumia, mpaka kuli tunza home.
Mkuu Brevis namba D mtaani bajet isipungue kiasi gani kwa ilionyooka rangi GreyHazna shida kiivyo. Ni issue ndogo ndogo tu sema preventive maintenance ndio watu wanafeli.
Asante bro na kweli lkn brevis na crown ipi jini bro?Brevis zaidi ya Mil 6 sitoi. Maana vijana wanaliita jini.
Hilo ndio jibu..Wasanii wa bongo ukiona kapost gar haina number plate mchunguze vizuri baada ya wiki kadhaa unaiona imepotea ujue isharudi yard hiyoMbona haina plate number, au ndio kusema ata rudisha yard baadae?
😄😄😄Cancer iyo. Ukiinunua ukakaa nayo mwaka, ukiuza Mil 8 nenda kwa mganga kampe 10%
😁Huyu anachekesha mbuzi itakuwa