Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Usikute na yeye hakujui..!! Tupo wengi mno, hasa wanawake..!!Dunia ina watu wengi hii
Huyu nae simjui
Usikute na yeye hakujui..!! Tupo wengi mno, hasa wanawake..!!Dunia ina watu wengi hii
Huyu nae simjui
Usikute na yeye hakujui..!! Tupo wengi mno, hasa wanawake..!!
Yeye pamoja na u-star wake bado humjui..!!! Siyo ishu sana.Mimi sio star obvious ni almost possible hanijui
Mimi hiyo haiwezi nirusha roho, kuna mwana humu niliona mtu ana chuma Volvo XC90 mzeeTatizo hawa wanajua kuturusha moyo. Usikute sio chuma yake
hawezi ninyima usingizi, kwasababu kuna wivu wa aina 2.Sasa huyu anaweza akakunyima usingizi.
Gari ya mtu anayetaka kuonekana anaendesha BMW hiyo...... haina cha kushangaza.Wakuu sasa kati ya hiyo na Mazda cx5 ipi bora?
Iheshimu mazda CX-5 mzeeWakuu sasa kati ya hiyo na Mazda cx5 ipi bora?
Nisamehee broIheshimu mazda CX-5 mzee
Duh si mchezo ndomana mtaani ukiwa na 7 m unaipata kiwepesi zaidiCX-5 moja unanunia izo BMW mbili.
Nimekuelewa sanaGari ya mtu anayetaka kuonekana anaendesha BMW hiyo...... haina cha kushangaza.