Mbona huwa zinatupwa bei chee sana hizi ndinga, kipengele ni nini?Hapa itakua 16-18 akipigwa 20.
😀😀 Kukosa exposure Ni tatizo bro.Tumwache kwanza. Na ukiona wametoa numberplate ujue kanunua used namba D au E za EAA.
Sijui nani anawashauri hawa.
Naona sana mporomoko wake wa bei ni kama itel au tecnoCancer iyo. Ukiinunua ukakaa nayo mwaka, ukiuza Mil 8 nenda kwa mganga kampe 10%