Pre GE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

Pre GE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Nadhani alipopewa pesa hajakosea ila kampeni aliyompigia hapo kwa stage.

Kuna 30k hapa Mkuu, hauhitaji hata kuipigia magoti njoo chukua.
 
Sasa kama kashindwa kuzitafuta Kwa njia yakueleweka kwanini asipige goti Kwa uchawa?
 
Maisha hata yawe magumu vip siwezi kupiga magoti kwa binadamu mwenzangu .
 
Mbele huko unapata comedian ni tajiri kuliko Rais...
 
Yuko kazini, anaendelea kuchekesha kwa tendo lake hilo la kupiga magoti!
 
Hizi pesa anazonunua watu amezitoa wapi ? kama si yeye kwanza keshanunuliwa na atazirudisha vipi?Ikulu kuna biashara gani ya yeye kuitaka ikulu kwa gharama kubwa hivi haijapata kutokea kwa waliopita kutapany pesa hadharani. tukubali nchi imeshanunuliwa hii
 
Huu ndio ilikuwa uchaguzi wa kuwaonyesha wanasiasa raia hawahitaji rushwa bali wanahitaji mtu sahihi.
 
Back
Top Bottom