Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Nadhani alipopewa pesa hajakosea ila kampeni aliyompigia hapo kwa stage.Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Kiasi gani?Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Hata 50Kiasi gani?
Piga kigelegele sasaππKwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Halafu ukute uko CCMUafrika ni laana
Hasa ukizaliwa Tanza
Mimi sio magoti tu nitapiga mpaka punyeto.Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Wewe jeuri yako ndo maana 24hrs upo jamii forum unabwabwaja tuHizi njaa, mwanaume unapiga magoti kweli? Sasa kama unapiga magoti hivyo, kushikishwa ukuta si itakua rahisi tu?
Shida mnapenda sana kuandika mambo zenu ambazo real gentleman hawezi kuandika hayo madudu yenu..Na siku akiliwa kiboga mtasema kafanya ili achekeshe
Lucas Mwashambwa anapiga goti kwa niaba yako maana akipata nawe umepata π π πKwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Ni kama vile mwanaume unampigia magoti mchumba wako wakati unamvisha pete, huo ni upumbavu mkubwaHizi njaa, mwanaume unapiga magoti kweli? Sasa kama unapiga magoti hivyo, kushikishwa ukuta si itakua rahisi tu?
Acha utani wako hapa Wewe ππ
Kwani uwongo huokoti ?Acha utani wako hapa Wewe ππ