Pre GE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna magoti gani tena tofauti na ya shayo
Kama unampenzi inaonekana bado ni mshamba sana kuna style bado hajakuweka!, anyway tuachane tu na hilo usije ukaanza kunitupia mijitusi hapa mtoto wa watu...😅
 
Kaa ukijua mpenzi wangu sio mshambaaaa
 
Kaa ukijua mpenzi wangu sio mshambaaaa
hehe! ndo maana nikasema tuyaache tutapigwa ban bure! we hata usikute ile ya kama chura huijui kama tu ya kupiga magoti huijui...😅
 
Kumbe kuna kama chura tena!🤔 mimi najua kifo cha mende na ya mbwa😂
hehe! ndo maana nikasema tuyaache tutapigwa ban bure! we hata usikute ile ya kama chura huijui kama tu ya kupiga magoti huijui...😅
 
Wakuu

Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!

===

Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio la Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Umesema mzee, mara ni aibu kwa vijana wa nchi hii? Umechanganyikiwa kwa vt vdg hivyo? Ndio mtazamo wake na mapenzi yake we ji nani kumpangia? Acheni siasa za kulazimisha. Mtu akiwa na mtazamo tofauti na ww ni aibu. We unayeshabikia hao nyumbu mbn hakuna anayekushangaa? Acheni ushamba
 
Hizi njaa, mwanaume unapiga magoti kweli? Sasa kama unapiga magoti hivyo, kushikishwa ukuta si itakua rahisi tu?
We bwege unamsaidia nini, hapo ameingiza maokoto we unawashwa na nini, fanya mambo yako pita huko acha umbea na mapumbu yako hayo
 
Wakuu

Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!

===

Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio la Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Adhalilishaye wengine jua naye anashalilishwa. Pia, adui yako muombee njaa na inakuwa hatari njaa yenyewe ikipanda kochwani.
 
Nitagalagala kwa furaha huku nabubujikwa na machozi ya furaha.
 
Back
Top Bottom