Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Daah! Apumzike salama aisee, kifo ni changamoto sana kwa maisha ya mwanadamu, ardhi imemeza wengi mno kwa kweli.Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na wasanii wenzake.taratibu za mazishi zinafuata.