Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stivu ana angle zake sidhani kama huku ana shughuli nako.Wengi mwasema rip.
Kwa Steve Ni fursa.
Sasa unatuambia ili iweje wewee?Yule ni mchizi wake marehemu, anaitwa Senga
Wewe ni chizi? Umeona niliye mquote alikuwa ameuliza nini? Pumbavu wahedSasa unatuambia ili iweje wewee?
Ukiendelea na huu upuuz nitakufuata ulipo nikukate mfululizo wa makofi ya hatarii.Wewe ni chizi? Umeona niliye mquote alikuwa ameuliza nini? Pumbavu wahed
Baaasi baba baasi utaua utaua tena ukienda na Imamu Husein na jambia lake yeye hadi baba ake mkwe ni kichapo tuUkiendelea na huu upuuz nitakufuata ulipo nikukate mfululizo wa makofi ya hatarii.
Sipendi upuzi mimi.
Hahaha yani wee acha tu. Yani mimi na Imaam Hussein tuko mstari wa mbele kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu halafu taka taka zinafanya mzaha baada ya kufanikisha wao kupata Tawfiq/Tawfeek ( the ability and opportunity to succeed) na kuwa na uhakika wa jannah na firdaus. Yani hawalioni hilo kabisa wakati watu tuna qauli thabeet za kutosha.Baaasi baba baasi utaua utaua tena ukienda na Imamu Husein na jambia lake yeye hadi baba ake mkwe ni kichapo tu
R. I. PMzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na Msanii wa Filamu, Vincent Kigosi “Ray” na taratibu za mazishi zinafuata.
=====
Mwigizaji na Mchekeshaji Mkongwe Nchini Tanzania, Mzee Yusuph Kaimu maarufu Pembe amefariki dunia jioni ya leo October 20,2024 katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Baadhi ya Waigizaji akiwemo Vicent Kigosi (Ray) na Mau Fundi wametoa taarifa za msiba huo na kusema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye, @AyoTV_ imeongea pia na Katibu wa Chama cha Waigizaji Kinondoni, Jafari Makatu ambaye amethibitisha na kusema “Alikuwa anaumwa alilazwa Temeke Hospital, amefariki kama saa moja iliyopita, alilazwa kama siku tatu nne, na tulikuwa tumepanga kwenda kumuona Kesho baada ya kuambiwa anaumwa”
He made our childhood happy RIP