Daah! Apumzike salama aisee, kifo ni changamoto sana kwa maisha ya mwanadamu, ardhi imemeza wengi mno kwa kweli.Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na wasanii wenzake.taratibu za mazishi zinafuata.
Sana.View attachment 3130857
Ulifanya utoto wetu kuwa mzuri sana
Unaomba rungu la marehemuPumzika Mr Pembe, sote tunakuja.
Lile Rungu lako naomba liwekwe makumbusho au liuzwe bei mbaya pesa isaidie familia yako
Africa hatuna utamaduni uwo wa kununua vitu vya wasanii kwa bei mbaya.Pumzika Mr Pembe, sote tunakuja.
Lile Rungu lako naomba liwekwe makumbusho au liuzwe bei mbaya pesa isaidie familia yako
Billions of dollars 🤣🤣🤣Africa hatuna utamaduni uwo wa kununua vitu vya wasanii kwa bei mbaya.
Wewe ungeweza kununua ilo rungu kwa bei gan labda? 😃
Bc sawa 😃Billions of dollars 🤣🤣🤣
Rungu lake likatunzwe either Makumbusho au ofisi za BASATAMzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na wasanii wenzake.taratibu za mazishi zinafuata.
Sanaa ya bongo bado sana kulipia kwa muda waliogiza wangekuwa Hollywood ni billionairesHuyu bwana na wenzie walikuwa wanatulea sana kwenye sebule zetu miaka hiyo.
RIPYusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na wasanii wenzake.taratibu za mazishi zinafuata
😂 umeanza yale mambo ya "si jana tu nimemuona anakula ugali. Leo kafa "Si juzi tuu hapa walikua na yule mwaisa sijui wamepewa ubalozi gani..