Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
hii tunaita migambo wanaruka na kukanyaga. mwenyw kibao hicho cha Juma Nature awekeKumekucha…. Kumekucha
Muheshimiwa Waziri nimatumaini yangu kuwa kesho ama ndani ya mwezi huu brt itaanza kuserereka kwenye barabara alizoruhusu zitumike kwakuwa bado kulikuwa hamna hizo mwendo haraka.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Watu wanafokewa kama watoto, wamejikunyata kinoma hahaha.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
kufutwa kazi si mchezoWatu wanafokewa kama watoto, wamejikunyata kinoma hahaha.
Ila usiambiwe tu kumekucha na mwanasiasa na ikaaamini,toka hakikisha mwenyewe usije liwa na mafisi usiku wa mananeKumekucha…. Kumekucha
Mkubwa MunguKwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
Booongo eee bongo daslaam,tutalilialia,bongoo daslammmWanataka kumkabidhi mwarabu barabara mbichi Kuna haja gani ya kukopa hela kutengeneza barabara ambazo hazina magari ya kupitia hapo. Kwa nini wasijaze magari kwenye hizi barabara zilizopo na wakipata faida hiyo faida itengeneze barabara nyingine. Hapa naona wanataka kutingiza kwenye madeni wake wamkabidhi mwarabu bure amwage magari na apate faida sisi tuje tulipe madeni Bure tu...