PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hata kama chalamila ni kiroporopo lakini kwenye hili alitumia busara nzuri kutokana na ujenzi wa miundo mbinu kumekuwa na changamoto kubwa sana ya foleni na kwa kuwa mwendokasi haujaanza kazi kwenye njia husika inasaidia kupunguza foleni.
Chalaboy kula tano
 
All in all Mchengerwa ni kati ya mawaziri bora ktk hii nchi anapenda haki. Kuna yule wa kilimo na yule mwenzake wa maji binafsi huwa sioni wanachokifanya. Waziri wa kilimo unaongelea mbolea mbolea huku ukijua nchi haina uhakika wa mvua ona kinachotokea sasa hivi kwenye maeneo mengi wakulima wanalia hakuna mvua mazao yamenyauka kwa kukosa maji Kilimo cha umwagiliaji ndio suluhisho visima virefu vichimbwe umwagiliaji ufanyike hata kwa kuanza na wilaya chache na uwe mpango endelevu na ikiwezekana wakulima watozwe fedha baada ya kila mavuno.Mtu amekomalia mbolea mbolea hata wameweka mbolea mashambani mahindi yamekauka wafanyeje? Wa maji naye naona hana mikakati ni ukali tu.Nawaomba muwe mnakwenda kupata uzoefu wa mipango kutoka kwa Comrade ANTHONY MTAKA yeye huwa anafanyaje mambo huwa yanakwenda vizuri bila kutumia nguvu nyingi
 
All in all Mchengerwa ni kati ya mawaziri bora ktk hii nchi anapenda haki. Kuna yule wa kilimo na yule mwenzake wa maji binafsi huwa sioni wanachokifanya. Waziri wa kilimo unaongelea mbolea mbolea huku ukijua nchi haina uhakika wa mvua ona kinachotokea sasa hivi kwenye maeneo mengi wakulima wanalia hakuna mvua. Kilimo cha umwagiliaji ndio suluhisho visima virefu vichimbwe umwagiliaji ufanyike hata kwa kuanza na wilaya chache na uwe mpango endelevu na ikiwezekana wakulima watozwe fedha baada ya kila mavuno.Mtu amekomalia mbolea mbolea hata wameweka mbolea mashambani mahindi yamekauka wafanyeje? Wa maji naye naona hana mikakati ni ukali tu.Nawaomba muwe mnakwenda kupata uzoefu wa mipango kutoka kwa Comrade ANTHONY MTAKA yeye huwa anafanyaje mambo huwa yanakwenda vizuri bila kutumia nguvu nyingi
Ubora ni kwa kifua kipana au kwa uchafuzi bora wa sirikali za kitaaa?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).

Video: Habari Digital
Samia alikosea kumpa ukuu wa mkoa chalamila.
 
Kwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
Mkuu wa mkoa yuko chini ya wizara ya Tamisemi ambayo Mchengerwa anaiongoza.
Mkuu wa mkoa, DC, DED, DAS, RAS wote ni wateule wa Rais lakini msimamizi mkuu na mshauri kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu mwenendo wa kiongozi anayemsimamia ni waziri wa Tamisemi (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI)
 
Site tunajua dart ipo chini yako lakini sio vizuri kuongea hayo mbele ya umma wa watanzania😁
 
Samia alikosea kumpa ukuu wa mkoa chalamila.
Sio kweli kwa mwenye kufanya tathimini kwa mazingira yetu yachawa na uchawa na kibongo bongo ni afadhali chala boy mara mia kuliko konda boy au hata kifua kinene boy
 
Back
Top Bottom