🚮🚮🚮Au sio? Kwahiyo Mkwe anaonea huruma pesa za miradi ambazo anazitoa Mama Mkwe! Hii inaitwa GG2+ na Handicap wa ugenini
Kwani Mkuu ebu nambie Wanu kaolewa na nani?!
Na ankp yakoKwani Mkuu ebu nambie Wanu kaolewa na nani?!
pameanza kuchangamkaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Wewe ni mbumbumbu hako kancho kana Barabara gani imara?
Mzigo jnaopita kwenye Barabara zetu ni sawa na huko?
View: https://www.instagram.com/reel/DHdxzLoz0nG/?igsh=MWszdmkwMDVqeThl
Ukisema hivyo hakuna RC/DC mwenye akili timamu wote ni hovyoTulipowaambia Chalamila akapimwe akili mlitushangaa, haya sasa
Wengine wana nafuuUkisema hivyo hakuna RC/DC mwenye akili timamu wote ni hovyo
Chalamila akishavuta bangi zake za Njombe anajiona yeye ndiye Rais wa nchi hii.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Nini cha manufaa zaidi ya Chalaboouy kafanya zaidi ya uchafuzi wa kitaaaa?wewe acha kujiaibisha mkuu. Waziri anasimamia wizara husika nchi nzima, Yuko juu ya wakuu wa mikoa wote, katibu wa wizara na msaidizi wake, n.k
hii tunaita migambo wanaruka na kukanyaga. mwenyw kibao hicho cha Juma Nature aweke
Sawa wote wateule wa Samia lakini Mchengerwa ana kifua kipana na anakula futari kwa Rais! Hapo sasa.Kwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
hata kama chalamila ni kiroporopo lakini kwenye hili alitumia busara nzuri kutokana na ujenzi wa miundo mbinu kumekuwa na changamoto kubwa sana ya foleni na kwa kuwa mwendokasi haujaanza kazi kwenye njia husika inasaidia kupunguza foleni.
Huyu ndo aliengua majina ya wapinzani sio huyuAll in all Mchengerwa ni kati ya mawaziri bora ktk hii nchi anapenda haki. Kuna yule wa kilimo na yule mwenzake wa maji binafsi huwa sioni wanachokifanya. Waziri wa kilimo unaongelea mbolea mbolea huku ukijua nchi haina uhakika wa mvua ona kinachotokea sasa hivi kwenye maeneo mengi wakulima wanalia hakuna mvua mazao yamenyauka kwa kukosa maji Kilimo cha umwagiliaji ndio suluhisho visima virefu vichimbwe umwagiliaji ufanyike hata kwa kuanza na wilaya chache na uwe mpango endelevu na ikiwezekana wakulima watozwe fedha baada ya kila mavuno.Mtu amekomalia mbolea mbolea hata wameweka mbolea mashambani mahindi yamekauka wafanyeje? Wa maji naye naona hana mikakati ni ukali tu.Nawaomba muwe mnakwenda kupata uzoefu wa mipango kutoka kwa Comrade ANTHONY MTAKA yeye huwa anafanyaje mambo huwa yanakwenda vizuri bila kutumia nguvu nyingi