bahatigyunda
Member
- Mar 18, 2025
- 5
- 4
Duuu kumekucha
Maana ya KIFUA KIPANAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Hili ni jambo la kawaida kabisa.Vinaumana
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Na mimi ndio nashangaa mpaka barabara zinaanza kuharibika.Alikuwa wapi siku zote?
kamuoa bint wa Raisi?Umekosea kuuliza ungeuliza "Kwani Mkwe wa Rais na mkuu wa mkoa nani mkubwa kinafasi ? "
Umewaza mbali sana hongera.Tengezeni Bararaba imara kama Rwanda hazibonyei.
Wote sichezi ngoma yao,unafiki mtupu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Haknamtu anaejali wafanyakaziw ake kama wazungu zunguka Tanzania nzima. Wazungu wako juu sana mara mia kila kitu tungewapa wasimamie mashirika yote ajira zingeongezeka na maslahi ya watanzania yangeboreshwa.Udini tuu umekujaa mbn migodi yote ina milikiwa na wazungu umenufaika nini?...Mwafrika huna cha kumkwepa mtu mweupe awe mzungu au mwarabu au mchina kaongezeka sahv kwny ukoloni huu mamboleo lazima ujae kwny 18 zao...
Unakaribia kuokota makopo ?!!Wanataka kumkabidhi mwarabu barabara mbichi Kuna haja gani ya kukopa hela kutengeneza barabara ambazo hazina magari ya kupitia hapo. Kwa nini wasijaze magari kwenye hizi barabara zilizopo na wakipata faida hiyo faida itengeneze barabara nyingine. Hapa naona wanataka kutingiza kwenye madeni wake wamkabidhi mwarabu bure amwage magari na apate faida sisi tuje tulipe madeni Bure tu...
Chalamila hakuruhusu magari yote kupita kwenye barabara ya mwendokasi, alisema magari madogo, mabasi ya abilia na bajaji. Hili la malori kupita huko amemsingizia.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Ni wivu tu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
🚮🚮🚮🚮
Hajielewi waziriWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Mawaziri na vigogo serikalini. huwa wanapita hiyo njia ya mabasi ya mwendo kasi kwani wao ni mabasi ya mwendo.kasi?Mchengerwa hajapata madhira ya kukaa kwenye foleni masaa