Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 422
- 497
Mwanzoni nilikuwaga najua mchengerwa ndio mkuu wa mkoa alafu chalamila ndio waziriKwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
Ila kwa hilo swali lako nahisi cheo cha uwaziri cha mchengerwa ndio kinachomuweka juu ya chalamila akitolewa uwaziri hamna maajabu rejea sakata la Paul Makonda na yule mbunge wa arusha