Mchengerwa atangaza kila Aprili shule zote ziwe na 'Wiki ya Muungano'

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.

Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.

Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.

Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.

View attachment 3317452
Kwani tamisemi ni wizara ya muungano?
 
Amelewa madaraka.

Sasa Kama vile amekuwa na Cheo Cha 'Naibu Rais wa Tanzania.'
 
Sidhani kama kunafaida yoyote ya kuungana, Bara ndo wanaoumia kila wakati unavozidi kwenda
 
Huyu bwana ni hatari Kwa Taifa,Sasa yeye muungano umemletea faida,bila muungano huo uwaziri asingeupata,Sasa anataka tuwapandikize fikra za kipumbavu watoto wetu
 
Huo muda mngefundisha vijana "hand skills" kama welding and fabrications, carpenter, ufundi wa simu na computer au hata programing nk, ingewasaidia vijana after school angalau kuingiza hela.

Tuache kuchezea muda wa vijana wetu mashuleni, ni wakati wakuwajengea misingi imara itakayowasaida kwenye maisha yao.
 
Asije akaharibu kalenda ya masomo ya Wizara ya Elimu, maana kila muhula una siku na masaa yake kitaalamu ya kukaa darasani.

Haya mambo ya kukurupuka kivyako vyako ndio kama tamko la Bashe likajikuta linadumu kwa masaa machache
 
Hawa viongozi wa namna hii huwa wanawapataje?.
Hawajui current issues kwa ajili ya maendeleo ya watoto na kuzazi kijacho.
Acha tu! Tatizo uchawa, umaskini, tamaa, UJINGA?
Afrika magharibi kungekuwa kushanuka hapa TZ! HAWATAKI UJINGA UJINGA KAMA HUU!
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.

Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.

Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.

Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.

View attachment 3317452
Ni nini hiki 😡, seriously?
 
"Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu" hapo sioni kama kuna shida yoyote
 
Back
Top Bottom