much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Umeona eeeh yatakuja kumshuka mkwe akitoka ikulu maana makashfa yatamwelemeaAmelewa madaraka.
Sasa Kama vile amekuwa na Cheo Cha 'Naibu Rais wa Tanzania.'

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
..ana kosa gani? kuoa binti wa Rais ni halali ambayo haijavunja kipengele chochote cha katibaHadi mke (President daughter)
Kumbe ukiwa mkwe una nguvu huko Tanza gizaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
View attachment 3317452
Kumbe ukiwa mkwe una nguvu huko Tanza giza
Nothing wrongWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa