The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kwani tamisemi ni wizara ya muungano?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
View attachment 3317452
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
View attachment 3317452
Kwani tamisemi ni wizara ya muungano?
Wameweka kwenye mtaala lkn bado hawaridhiki.Hawa viongozi wa namna hii huwa wanawapataje?.
Hawajui current issues kwa ajili ya maendeleo ya watoto na kuzazi kijacho.
Wizara ya elimu haihusishwa hapo.Kwani tamisemi ni wizara ya muungano?
Acha tu! Tatizo uchawa, umaskini, tamaa, UJINGA?Hawa viongozi wa namna hii huwa wanawapataje?.
Hawajui current issues kwa ajili ya maendeleo ya watoto na kuzazi kijacho.
Tatizo la kuendesha nchi bila kuwa na katiba, udugu wa watawala ndio umekuwa katiba! Hivi sasa kila kitu kimo kwenye muungano na rais wa Zanzibar ni rais wa Tanzania, nchi ina marais wawili!
Ni nini hiki 😡, seriously?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
View attachment 3317452
"Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu" hapo sioni kama kuna shida yoyoteWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa kurithisha kizazi kijacho na kutoa uelewa mpana kwa wanafunzi juu ya Muungano.
Mungano anaouzungumzia ni wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, 1964 chini ya waasisi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Waziri Mchengerwa amesema hayo jana Jumamosi, Aprili 26, 2025 wakati akizungumza katika kijiji cha Sangambi mkoani Mbeya baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh40 bilioni ikiwa ni shamrashamra za miaka 61 ya Muungano.
View attachment 3317452
Hadi mke (President daughter)Huyu bwana ni hatari Kwa Taifa,Sasa yeye muungano umemletea faida,bila muungano huo uwaziri asingeupata,Sasa anataka tuwapandikize fikra za kipumbavu watoto wetu