Mchengerwa awashukia maofisa ‘wanaobania’ watumishi kupanda madaraja

Aje kwanza na vitendo, maneno kasema sana
 
KuNA tuliotumika miaka 22 hatujawahi kupanda Vyeo zaidi ya kuhuishwa kwenye Scheme of Service. Ikitoka mwaka huu utaitwa assistant registar Mshahara wako huo. Ikitoka nyingine utaitwa Assistan minor Registrar salary scale F
 
Asante Sana Waziri. Wapo baadhi maafisa utumishi wenye sifa hizi za roho mbaya hasa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
 
Maajabu

1. Mshahara hutoi pesa yako

2. Akipanda cheo haina maana chako kitashuka

3. Hizi roho mbaya zinawafanya watumishi wasifurahie taaluma zao

#Mchengerwa Chapa Kazi

Akipanda cheo atakuwa haniheshimu tena[emoji3516][emoji30][emoji1787][emoji41]
 
Kuna kipindi huko nyuma alisema maneno ya namna hii, ila tatizo zilongwa mbali zitendwa mbali......in mkwere's voice.
 
Hajapata kutoke waziri kama huyu jamani! Kama kuna mtu ana namba yake naomba anipatie nimtajie baadhi ya maafisa utumishi wa manispaa wanaomkwamisha kwa maslahi ya matumbo yao!
 
Ndio muelewe ukiwa kiongozi unatakiwa uwe na akili nyingi kama mchengelwa. Hapo anawaremba watumishi tu hamna lolote.
 
Kazi nzuri sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…