Mchengerwa: Hali ya Jenista Mhagama ilikuwa mbaya, madaktari walifanya kazi kubwa

TOKA MAKTABA

11 December 2025

DK. NDUMBARO - JENISTA ALIKUWA NA HALI NZURI

Dkt. Ndumbaro amesema kuwa hadi jana marehemu alikuwa na hali nzuri na aliweza kuzungumza na watu

View: https://m.youtube.com/watch?v=A8KXVXbgTU4
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema amesikitishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama, kilichotokea leo Desemba 11, 2025 Jijini Dodoma.

Akizungumza na wanahabari katika eneo la Itega Jijini Dodoma, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa hadi jana marehemu alikuwa na hali nzuri na aliweza kuzungumza na watu, kabla ya hali yake kubadilika ghafla leo asubuhi na hatimaye kuaga dunia.Aidha, Dkt. Ndumbaro amesema Mkoa wa Ruvuma umepata pigo kubwa kwa kuondokewa na kiongozi huyo, akimwelezea kama “malkia” — jina ambalo, amesema, alipewa na wananchi wake kutokana na kazi na mchango wake mkubwa wakati wa uhai wake.16h
 
12 December 2025

Mhe. Jenista Mhagama hali yake ilikuwa mbaya sana Waziri wa Afya, Mohammed​

View: https://m.youtube.com/watch?v=zmCE7EhqUiA
12 Dec2025
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.

Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama.

Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
 
Anawapongeza na kuwadhukuru madaktari kwa kujitahidi kushindwa kumponya?
 
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.

Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.

“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.

Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama. Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
Kama unamuamini huyu janga na wewe hauko sawa. Huyu ndiye kasimamia uchaguzi! mkwe wa Mama Damu
 
Mara baada ya Jenister Mhagama kumkabidhi ofisi ndugu Mchengerwa, alipata kizunguzungu na kudondoka (Jenister) chini, akateguka mguu na kupoteza fahamu.

Akibanwa vizuri Mchengerwa ataeleza alifanya nini mama wa watu.
Siyo presha ya madaraka kama alivyomtabiria Lema?
 
Watu wanao hisi Marehemu ame uwawa Naomba mtufafanulie alikua ana tishio Gani kwa wahusika wanao daiwa kumuua.
Alikua tishio kwa namna ipi?
 
Huy
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.

Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.

“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.

Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama. Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
huyu mama ameniuza sana ndio ni mwana ccm ,ila nimeumia sana nitakuja na andiko kwa namna namjua vizuri, kuanzia mme wake mpaka familia yake , huyu hakuwa mtu wa mchezo, alipata mavyeo ila nyuma ya pazia yapo makubwa, Mungu apumizishe anapo stahili
 
Ndugu zake wa kuzaliwa toka nitoke walikua hawajui mbona?
Habari za msiba wameziona mtandaoni na kupigiwa simu na watu baki.
 
If she had a couple of seizures before, why weren’t the necessary steps taken to save her life?
 
CCM mmeanza kubementana wenyewe kwa wenyewe eee baada ya kuwamaliza wapinzani. -- kumbukeni wosia wa mwalimu.
 
Natamani kuweke post ya niyajuayo ila sielewi. Giza ni nene lakini ndio kukucha kunakaribia...
 
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.

Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.

“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.

Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama. Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
Hiu camera ndio ina quality mbaya au ndio Sura ya siku hizi ya Mh Mchengerwa?
 
Poisonous effects.
Hivi KAZI hazina future, usimruhusu mwanao kufanya hizi kazi za laana
Ata ukiwa mkata mkaa utakufa tu tofauti ni moja unakufa unaacha nini huku nyumba au ndio kutaabisha watoto mwishowe wawe watoto wa mtaani..
 
Back
Top Bottom