Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
Hela za siasa ni tamu kweli ila zikianza kkutokea puani ndo utajua hujui
Benjamin Mkapa kapelekwa maiti mnamdanganya Nani?Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.
Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.
“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.
Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama. Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
Kumbukeni kuna ugonjwa wa presha,zingatieni ulaji, mazoezi etc, vijana wengi Wana pressure na hawajuiSarakasi siasani
Really? Like Seriously? Chaula aliyeuliwa na RC HOMORA(sasa ni waziri) alikuwa na tishio gani? MC Pilipili amepigwa "shaba" ya mgongo na kufariki alikuwa na tishoi gani?Watu wanao hisi Marehemu ame uwawa Naomba mtufafanulie alikua ana tishio Gani kwa wahusika wanao daiwa kumuua.
Alikua tishio kwa namna ipi?
Mume wa kwanza wa mkewe nae kapata Cheo cha kuwa DC!! Huyu mama anatutia vidole puanı WATANGANYIKA!Nchi ya familia hii aisee
Daaah nakumbukaHahahaha Mchengerwa again?
Yule aliyepost status kukebehi baada ya polepole kutekwa usiku wa manane?
Kweli ushirika wa wachawi haudumu.
This government can never accept an independent pathologist to conduct the autopsy on the deceased body of the late Jenister Mhagama owing to the fact that the government is privy to the deceased's untimely demise.
I remember in the year 2008 when the former member of parliament for Tarime constituency the late Chacha Zakayo died under mysterious circumstances his relatives demanded an independent autopsy but again the then government led by the former president Jakaya Kikwete categorically objected to the request and went on to direct the state pathologist to carry out the autopsy whose result showed the road crash as the cause of the death for the late Tarime MP.
The reason why the government often refuses to allow independent autopsy clearly shows that it is privy to these untimely deaths happening to various political figures in the country and it can't refute this fact.
Aseme tu sumu ilikuwa kali aache kutufanya wapumbavu.Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.
Akizungumza leo Jijini Dodoma, nyumbani kwa marehemu Itega, Mchengerwa amesema alipokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwamba madaktari walipambana kwa nguvu zote tangu walipompokea marehemu, lakini licha ya juhudi hizo, Mungu alimchukua.
“Nichukue fursa hii kuwashukuru madaktari wote waliomhudumia pale Benjamin Mkapa. Walifanya kazi kubwa sana mpaka dakika za mwisho ambapo Katibu Mkuu alinifahamisha kuwa hali yake ilikuwa mbaya sana na baadaye Mwenyezi Mungu akamchukua,” amesema Mchengerwa.
Aidha, Waziri Mchengerwa amewataka madaktari wa hospitali hiyo kuendelea kuwa na moyo wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wengine kama walivyofanya kwa marehemu Jenista Mhagama. Vilevile, ameahidi kuwa Wizara ya Afya itaendeleza na kutekeleza maono, dira na miradi aliyoiacha Jenista Mhagama mara baada ya kumkabidhi kijiti cha uongozi ndani ya wizara hiyo hivi karibuni.
If you read my above post you will definitely find the answer to your question.Who has the final say as far as the handling of the body of the deceased is concerned ; is it the family of the deceased or the employer?
If the family of the deceased wants to carry on an autopsy using their own resources why should the government deny them such a right?
Hii ni kama sinema ya aina fulani!Mkuu, haiwezi kuwa ni kihoro cha kukosa uwaziri? Lema alisema huyu mama anapenda uwaziri sana.
Mkuu, nchi yetu CCM imeifikisha sehemu mbaya mno. Ni kama tunaishi kwenye nchi ya kipekee. Ni matokeo ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu halafu matapeli wakafanikiwa kuingia ndani na kuwa viongozi. Leo hii unaweza kusema kwa uhakika kuwa viongozi wote wa nchi hii kuanzia kwenye mitaa, huteuliwa na rais. Halafu rais mwenyewe ni ndiyo huyu Samia, na D yake moja. Infact ni standard seven leaver aliyechangamka. Wasaidizi wake? Kina Salum mapete, Mcherengwa, Makonda etc.... Bila CCM kuondoka hakuna namna.Hii ni kama sinema ya aina fulani!
Marehemu katika uhai wake alikuwa akigalagala chini mkuu wake amwone alivyokuwa akimpenda; sasa ni marehemu, na mkuu huyo huyo aliyekuwa akionyeshwa upendo hana habari kabisa na marehemu!
Sikutegemea nchi hii tungefikia katika hatua ya namna hii ya tabia za kusikitisha sana
Hivi kuwa waziri, au wadhifa wowote serikalini inamlazimu mtu kujidhalilisha utu wake kiasi kile?
Haya mambo huwa yanaenda mpaka Kwa watoto, au umesahau.Ata ukiwa mkata mkaa utakufa tu tofauti ni moja unakufa unaacha nini huku nyumba au ndio kutaabisha watoto mwishowe wawe watoto wa mtaani..