Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.