Wanasema ana kifua kipana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshimu wakubwa wako kijanaHakuna mjinga humu kama wewe
USSR
Labda vimeunganishwa viwiliWanasema ana kifua kipana !
Leo umechafua heshima yako mdogo uliyokuwa nayoHeshimu wakubwa wako kijana
Potelea mbaliLeo umechafua heshima yako mdogo uliyokuwa nayo
LAbda vimeunganishwa viwili
Nimeamini ufipa mna mtapia mlo!Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.
View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.
View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
Watumishi hasa wa Tamisemi bila mtu mwenye kauli za kibabe kama Chengerwa kazi haziendi kikubwa asiwe mtu wa matamko tu bali atekeleze anayoyaongeaUongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.
View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
Mnapenda kumbembelezwa badala ya kutimiza majukumu ya dhamana mlizopewa, mkikumbushwa mnaona mnatendewa jinai, mleta uzi na walioko nyuma yako wenye mtazamo kama wako ndio wanaolizamisha taifa hili, pathetic mkubwa weweUongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.
View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
Khaa!! Nyie ndo wazembe kazin kauli za piga kazi zinawastusha unahisi kama utawekwa kando mda wwt.. piga kaz acha kulalama hapaUongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .
Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.
View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
Toa jibu vinginevyo we ndio mjinga zaidi yakeSwali lako ni la kijinga
Hataki longolongo still maji hakuna