Mchengerwa hutokuwa Waziri milele. Napinga kauli zako za Kibabe kwa Watumishi

Nimeamini ufipa mna mtapia mlo!
 

View: https://www.instagram.com/p/C04OCE6I48s/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kwanini mnapenda kudekezwadekezwa, kulialia?

Hiyo ni ishara ya kukwepa kuwajibika...
 
Watumishi hasa wa Tamisemi bila mtu mwenye kauli za kibabe kama Chengerwa kazi haziendi kikubwa asiwe mtu wa matamko tu bali atekeleze anayoyaongea
 
Mnapenda kumbembelezwa badala ya kutimiza majukumu ya dhamana mlizopewa, mkikumbushwa mnaona mnatendewa jinai, mleta uzi na walioko nyuma yako wenye mtazamo kama wako ndio wanaolizamisha taifa hili, pathetic mkubwa wewe
 
Khaa!! Nyie ndo wazembe kazin kauli za piga kazi zinawastusha unahisi kama utawekwa kando mda wwt.. piga kaz acha kulalama hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…