Mchengerwa hutokuwa Waziri milele. Napinga kauli zako za Kibabe kwa Watumishi

Mkuu
Huu ni wakati wao kama familia kumega mema ya nchi.

Tuendelee kubuni na kutekeleza mikakati ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa zimwi
 

Mchengerwa is the right person kwa hii wizara. Tamisemi ni Wizara ngumu sana kwani huko ndio kuna mamwinyi wa ccm kama madiwani hivyo wanaathiri sana kazi za watendaji kwa kuweka maslahi yao mbele. Mchengerwa asiishie kuonesha makali yake huko mikoani tunataka aje asafishe na huku mjini hasa madiwani wa Kinondoni na halmashauri Yao iliyooza!!
Madiwani wa Kinondoni ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya; wanajidai kuwa wao ndio mamwinyi wa ccm hivyo kuwagusa wanaweza kuiangusha ccm kwenye uchaguzi na kwasababu hiyo mawaziri wa TAMISEMI waliopita walikuwa wanawagwaya hawa wezi!!

Mama Liana alipokuwa mkurugeni wa Kinondoni kwa muda mfupi aliweza kuwathibiti kwa wizi wao lakini kwasababu ya umwinyi wao na ukaribu wao na ccm wakamuwekea fitina ; kuwa akiendelea kuwepo hapo Kinondoni ccm ingekosa kura kwasababu alikuwa sio mwenzao! Mama wa Watu akahamishwa na mchezo wao mchafu wa kuchota fedha za halmashauri na kuuza madawa ya kulevya unaendelea. Mchengerwa kama kweli amedhamilia kusafisha Tamisemi basi aje na huku Dar es salaam.
 
Nadhani Mchengerwa is the best minister in Mama's cabinet!
 
Mnapenda kumbembelezwa badala ya kutimiza majukumu ya dhamana mlizopewa, mkikumbushwa mnaona mnatendewa jinai, mleta uzi na walioko nyuma yako wenye mtazamo kama wako ndio wanaolizamisha taifa hili, pathetic mkubwa wewe
Kwi Kwi Kwi ! Chawa bhana !!
 
Spora liana ana uadilifu gani huku alkitumika kupora uchaguzi kijinga namna ile ? alitumika kumpora Umeya Boniface Jackob Kibwege sana kwa kutumwa na ccm
 
Spora liana ana uadilifu gani huku alkitumika kupora uchaguzi kijinga namna ile ? alitumika kumpora Umeya Boniface Jackob Kibwege sana kwa kutumwa na ccm
Kujua uadilifu wake ni lazima ujue historia ya utendaji wake huko kote alikopitia na vikwazo alikumbana navyo. Uadilifu wa mtu haupimwi kwa tukio moja; it involves an evaluation process!!
Unajua fitina alizowekewa na meya wa Kinondoni kwa kuthibiti matumizi yasiyo rasmi ya madiwani wa Kinondoni?
 
Namuunga mkono huyu dogo, ili nchi yetu iendelee lazima tuwe na wafanyakazi waadilifu pamoja na viongozi wetu.
 
Mchengerwa Ni bonge la wazirii kila wiRa ta anakokwenda anafnya vzr mno namkum uka akiwa waziri wa utawala Bora utumishi aise jamaa ninmwerevu
 
Umeandika nini sasa? Mbona huelezi kafanya kitu gani ambacho kinadhihilisha hayo uliyoandika. Hebu tuambie jinsi gani kajifanya ana akili na kudhalau hizo kauli za kawaida sana
 
KIBURI CHA MAMA NKWE!
Yetu macho, mambo kule hubadilika bila notisi. Tutakutana naye mtaani yakibumburuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…