Wenyewe wamechagua kuwa wapenzi wadundikaji.Kuna kupema vigoma halafu kuna kuzalisha wasanii Mkuu🌚🌚
Inawezekana ameshaomba Mungu amsamehe kama Nape alivyotoa ushahidi.Huyu ndiyo yule mratibu wa kura za wizi.
Mimi naunga mkono hii idea maana ina tija kwenye sekta ya sanaaWakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
View attachment 3175511
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.
Hakika watuache, warufiji kivyetu vyetu... tukihitaji msaada tutawaambiaRufiji ni pwani ile.Wanapenda vigodoro/vigoma/muziki/mdundiko kuliko ubwabwa.Na ndipo wanapotafutia wachumba.Muwaache.
Mpewe studio yenu tu ila msiitumie kusutana.Hakika watuache, warufiji kivyetu vyetu... tukihitaji msaada tutawaambia
Pesa ni zake hapangiwi matumizi ya jinsi ya kutumia, kama MO au tajiri wa azam anavyo mnunulia mjukuu magari ya mabilioniHuyu mwizi wa kura alifanya Happy Birthday ya kufuru zaidi ya milion 200 zikiteketea
Moja yq tamaduni yetu ni kuambiana ukweli live/mubashara au kama muitavyo kusutana, hivyo hakuna tatizo mkuuMpewe studio yenu tu ila msiitumie kusutana.
Mchengerwa anaongoza watu wajinga, anajua huko wanapenda miziki huku yeye anapiga pesa na mama mkwe wakeWakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
View attachment 3175511
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
Sijabisha.Na ajabu huwa muambiwaji hawi mkali.Moja yq tamaduni yetu ni kuambiana ukweli live/mubashara au kama muitavyo kusutana, hivyo hakuna tatizo mkuu
Ni jimbo la watu wajinga na wavivu snRufiji ni pwani ile.Wanapenda vigodoro/vigoma/muziki/mdundiko kuliko ubwabwa.Na ndipo wanapotafutia wachumba.Muwaache.
Atakuwa anataka kuongeza bibie mwingine kiaina.Sunna ile ujue!Mchengerwa anaongoza watu wajinga, anajua huko wanapenda miziki huku yeye anapiga pesa na mama mkwe wake
Lakini ni waungwana sheikh wangu.😂😂😂Ni jimbo la watu wajinga na wavivu sn
Lazima uwe mtulivu sababu yote utakayoshushiwa ni ukweli mtupu mkuu!Sijabisha.Na ajabu huwa muambiwaji hawi mkali.