Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuh Rufiji gani hiyo yenye Barabara ya kiwango cha juu?
Screenshot_20241213-083920_Google.jpg

Screenshot_20241213-083846_Google.jpg
 
Wakuu,

Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚

===

View attachment 3175511

Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
MAENDELEO YA SEKTA MTAMBUKA ALIMRADI KILA SEKTA INAPATA MAENDELEO JAPO KIDOGO KIDOGO,
HONGERA MH. MCHENGERWA SAFI SANA, HAKUNA KUBAKISHA JAMII YOYOTE NYUMA, KUANZIA HUDUMA ZA KIMSINGI MPAKA HUDUMA ZA BURUDANI
 
Nyumbu wa mbowe Wana gubu aisee! Sasa kuendeleza Sanaa Kuna shida gani?!!!! Nyambafu zenu.
 
Wanajificha katika kichaka cha uzaramo

Wapo wandengereko kwa mfano:-
1. Mboso (msanii)
2. Marioo (msanii)
3. Samata (mchezaji mpira)
4. Sheikh kipozeo
5. Alhaj Sheikh musa
6. Marehemu Prof. Mtulia
7. Dr Dau ana asili ya rufiji na Mafia

Wapo wengi sana mkuu.
Itakuwa ni hivyo mkuu japo siyo wengi sn kama kabila zima watu maarufu ni 7 pekee
 
Wakuu,

Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚

===

View attachment 3175511

Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
😆😆😆😆
 
Ndio tunataka mchiliku na mnanda bila kusahau deda, Rufiji Fm ina kiwasha. Ujio wa studio utasaidia kukuza ajira katika upande huo

Kila Kaya yenye wasomi hakuna aliyebakia nyumbani karibu wote wanachapa kazi, barabara zipo kwa kiwango cha juu, hosp huduma nzuri, elimu shule zipo za kutosha, maji ya uhakika

Mambo mengine yanaenda kutatuliwa Kadri muda unavyoenda

Karibuni Rufiji
Woyoooooooo
 
Back
Top Bottom