Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Yes, ndio maana huku kwetu huwezi kuta mtu ana presha ama kisukari, we dont aim higher kama wachaga wanawazza kujenga nyumba, biashara sijui kusomesha watoto , sisi mtoto atasoma tu mpaka lasaba maana elimu ni bure.Mpo vema sana.Hamna mengi.Ninyi mnadili na inner family matters tu.