Tanganyika Mpya
Senior Member
- May 3, 2024
- 170
- 375
Ingia Bungeni mkuu uwapiganie Wana ubaruku, ukamsaidie muwekezaji masanja katika mashamba ya mpungaSana siwapo bungeni na mke wake, bunge limegeuka la ukoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia Bungeni mkuu uwapiganie Wana ubaruku, ukamsaidie muwekezaji masanja katika mashamba ya mpungaSana siwapo bungeni na mke wake, bunge limegeuka la ukoo
Kuna kobe mkubwa kama ndoo.Utalii ule.Wana wanyama wamewatoa wapi? siku za maonyesho wanakuja kuchukua simba, chui na twinga Ngorogoro/Serengeti/Tarangire n.k
Sasa mtoa mada ulitegemea nini cha maana kutoka kwa waziri wa mboga mboga tena ambae ametoka kusimamia uchafuzi juzi kati tuu hapo🤔🤔 acha wale dundo kwa sababu watanzania walio wengi wana ujinga na upumbavu wa asili ndio maana wana danganywa kwa vitu visivyo na maana😁😁
Wakina samata wasingecheza mpira, wakina mbosso na Marioo wasingeweza kuvaa vipensi/bukta mbele za watu mkuuMpo juu.Sasa,mlivyo na matege mtaweza kukimbia kweli?
Anacheza na beat 🪘 kikubwa kura zipatikane, ndio mwisho wa kufikiri kwaoWakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
View attachment 3175511
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
Ndio asili yetu kaka, umoja na mshikamano. Uhuru na kuheshimiana ndio nguzo yetu piaNi balaa mkuu huku hadi wamama wenye watoto wadogo na wazee wote wanakesha kwenye mziki.
Songwe kwenyewe napita tu mi siwezi kutokea sehemu anayotoka LucasIngia Bungeni mkuu uwapiganie Wana ubaruku, ukamsaidie muwekezaji masanja katika mashamba ya mpunga
Utalii sio wanyama tu, pia Kuna msitu wa Jozan na michezo mingi kwa wageniWana wanyama wamewatoa wapi? siku za maonyesho wanakuja kuchukua simba, chui na twinga Ngorogoro/Serengeti/Tarangire n.k
Kobe wapo kwenye mashamba ya mpunga wamejaa hata hatuna haja nao.Kuna kobe mkubwa kama ndoo.Utalii ule.
Hiyo ni formula ya kila muambiwaji au ni wewe tu?Sijabisha.Na ajabu huwa muambiwaji hawi mkali.
Kwa akili hizi Mchengerwa atawaibia mpk mpate akiliUtalii sio wanyama tu, pia Kuna msitu wa Jozan na michezo mingi kwa wageni
Ubaruku haya mambo ni mageni mno kaka
Karibu rufiji Kuna ngomba zetu kama deda, mchiriku, mnanda nk karibu sanaSawa mzee wa vigodoro
Kule Zanjibari ndiyo utalii huo.Kobe wapo kwenye mashamba ya mpunga wamejaa hata hatuna haja nao.
Anakuelewa taratibu, shida yupo chunya ana fanya kazi za chama anashindwa kutoka kuja kutaliiKuna kobe mkubwa kama ndoo.Utalii ule.
Mimi huwa najibishia hadi nafsi yangu.Ni ubishi tu hadi keshokutwa.Hiyo ni formula ya kila muambiwaji au ni wewe tu?
Baraka, mashallah, mining nice, nk karibuMashaallah!Tuombe kheri.Kimbinyiko linafika huko?
Wanajificha katika kichaka cha uzaramoKuanzia chekechea mpk chuo sikuwahi kusoma na haya makabila japo chuo nilisoma Dsm wala huku kwetu ukimuuliza mtu kabila kama hilo hajui kabisa, nashauri mkuu wewe gombea nadhani utabadilisha jamii nimeona unauelewa sn unatetea wananchi kuliko Mchengerwa asee.
sisi wazaramo hatutaki mambo mengi , studio, vigodoro ,vinatutosha.Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
View attachment 3175511
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
Mpo vema sana.Hamna mengi.Ninyi mnadili na inner family matters tu.sisi wazaramo hatutaki mambo mengi , studio, vigodoro ,vinatutosha.