Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mtoa mada ulitegemea nini cha maana kutoka kwa waziri wa mboga mboga tena ambae ametoka kusimamia uchafuzi juzi kati tuu hapo🤔🤔 acha wale dundo kwa sababu watanzania walio wengi wana ujinga na upumbavu wa asili ndio maana wana danganywa kwa vitu visivyo na maana😁😁
 
Wakuu,

Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚

===

View attachment 3175511

Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
Anacheza na beat 🪘 kikubwa kura zipatikane, ndio mwisho wa kufikiri kwao
 
Yaan huyu Waziri hovyo kuwahi kutokea, anabebwa na ma mkwe wake.
Mxxxiiiieeew.
 
Kuanzia chekechea mpk chuo sikuwahi kusoma na haya makabila japo chuo nilisoma Dsm wala huku kwetu ukimuuliza mtu kabila kama hilo hajui kabisa, nashauri mkuu wewe gombea nadhani utabadilisha jamii nimeona unauelewa sn unatetea wananchi kuliko Mchengerwa asee.
Wanajificha katika kichaka cha uzaramo

Wapo wandengereko kwa mfano:-
1. Mboso (msanii)
2. Marioo (msanii)
3. Samata (mchezaji mpira)
4. Sheikh kipozeo
5. Alhaj Sheikh musa
6. Marehemu Prof. Mtulia
7. Dr Dau ana asili ya rufiji na Mafia

Wapo wengi sana mkuu.
 
Wakuu,

Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚

===

View attachment 3175511

Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
sisi wazaramo hatutaki mambo mengi , studio, vigodoro ,vinatutosha.
 
Back
Top Bottom