Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwanini mkuu?Kumbe bado upo ndotoni mkuu, amka usije ukajikojolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?Kumbe bado upo ndotoni mkuu, amka usije ukajikojolea
Atakuwa anaandaa chai na kumenya parachichi.Hawezi kuja ni PS wa UWT sahivi yupo kazini boss wake yupo, pia amepewa pikipiki ya chama jioni anakula bodaboda Tunduma Zambia
Na Kuna mpango wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu kwa viwango na sura ya kimataifaKatika jamii kuna kila aina za watu kuna wapenda mpira, muziki na muvi n.k yeye kawagusa wapenda mziki na wamefurahi usichokipenda wewe wengine wanakipenda
Bora basi abadilishe ile jamii asee ni walima mihogo wazuri basi kuwe na kiwanda cha kuchakata mihogo na kusafirisha uarabuni soko lipo snUnadhani hata asipojenga akiamua kuiba haibi?
Ataachiwa modem saa 6 Katibu akienda msikitini naye ataibuka hapaAtakuwa anaandaa chai na kumenya parachichi.
Kama ni kweli basi itakuwa maridadi sana!Na Kuna mpango wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu kwa viwango na sura ya kimataifa
Mipango ni mingi kwa wilaya na jimbo la rufiji
Ni utamaduni mkuu kama wahaya au wasukuma na mambo yaoWanatutia aibu watanzania wanakata viuno na shaga zao kiunoni huku Mchengerwa anatajirika kupitia migogo yao. Ni aibu tupu
Rufiji gani unaizungumzia mkuuKule gari ni ya Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa CCM Wilaya hivyo hawahitaji barabara nzuri wanapanda mitumbwi
Hadi modem anaazima?Aungwe kwenye TASAF/watu wenye mahitaji maalumu ya ruzuku.Ataachiwa modem saa 6 Katibu akienda msikitini naye ataibuka hapa
Siyo hata utamaduni ni ujinga tupu, mbona familia ya Mchengerwa hawachezi vigondoro wapo busy na kuiba mali za umma?Ni utamaduni mkuu kama wahaya au wasukuma na mambo yao
Haitosaidia kama raia wenyewe ni pompompo.Siku Tanzania tukiamka..watu kama hawa tunafanya kama Syria ni kuwanyonga mbele ya halaiki shenzi
Sahivi lakini ile pikipiki ya chama inamsaidia maisha yake yamebadilika kidogoHadi modem anaazima?Aungwe kwenye TASAF/watu wenye mahitaji maalumu ya ruzuku.
Wandengeleko wa mwera ambao wapo Linda pia ila wandengeleko ndio tupo kwa wingiMkuu hivi Rufiji wenyeji huwa ni kabila gani? nimesoma hapo Dar 2013-2016 sikuwahi kusikia mtu chuoni kwetu anatoka Rufiji
Tanzania imebarikiwa kuwa na watu wajinga snHaitosaidia kama raia wenyewe ni pompompo.
InshaAllah. Mola amrehemu.🙏Sahivi lakini ile pikipiki ya chama inamsaidia maisha yake yamebadilika kidogo
Karibu utembee rufiji uweze kujionea uhalisia, hizi kelele za mitandaoni ni za kusadikikaKama ni kweli basi itakuwa maridadi sana!
Mashaallah!Tuombe kheri.Kimbinyiko linafika huko?Karibu utembee rufiji uweze kujionea uhalisia, hizi kelele za mitandaoni ni za kusadikika
Karibu katika uhalisia wenyewe
Kuanzia chekechea mpk chuo sikuwahi kusoma na haya makabila japo chuo nilisoma Dsm wala huku kwetu ukimuuliza mtu kabila kama hilo hajui kabisa, nashauri mkuu wewe gombea nadhani utabadilisha jamii nimeona unauelewa sn unatetea wananchi kuliko Mchengerwa asee.Wandengeleko wa mwera ambao wapo Linda pia ila wandengeleko ndio tupo kwa wingi
Tuna patikana pia kuanzia kibiti, mkuranga, kisarawe, Mafia, mbagara, kigamboni, temeke na unguja
Maisha yake kidogo sihabaInshaAllah. Mola amrehemu.🙏