Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha ndani ya siku saba wanabadilisha utaratibu huo.

Soma Pia: Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

“Ninawataka Wakurugenzi wote wa majiji lakini hasa Jiji hili la Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Nchi, Mkuu wa Mkoa, Wilaya nendeni mkajipange hasa pale eneo la stesheni ya rel, utaratibu wa watu kuingia na kutoka haujakaa vizuri, nendeni mkakae pamoja na TRC muweke utaratibu mzuri, haieleweki, Rais hawezi kutuelewa”

Ukishuka Dodoma ama Dar unazongwa na bodaboda, bajaji, taxi inakua ni kero sana. Yaani ukishuka tu miongoni inakua ni kero ya kufa mtu, hakuna utaratibu, hakuna ustaarabu.

Pia hata maeneo ya vituo yako hovyo, madogo, hayana nafasi,, Stesheni ya Dar ni padogo sana na ya Dodoma pia. Hatua chache kuna barabara kuu, hakuna utaratibu wa kuvuka.

Mbaya zaidi hakuna maeneo ya kusubiria treni, waiting space kwa Stesheni ni ndogo sana, finyu. Na hata design ya jengo owa ndani ni hovyo, jengo lina open space(open roof) ndani kubwa sana kuanzia ground hadi floor ya tatu ambayo haina maana yoyote.

Tanzania kuhusu mipango ya na mipangilio ni kama hilo jambo limetushinda, kila kitu kinajiendea hovyo hovyo.
 
Kamba Hizo Za Hapo Mlango Wa Kutokea
Askari Nao Pia Kero Hapo Ndani
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha ndani ya siku saba wanabadilisha utaratibu huo.

Soma Pia: Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

“Ninawataka Wakurugenzi wote wa majiji lakini hasa Jiji hili la Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Nchi, Mkuu wa Mkoa, Wilaya nendeni mkajipange hasa pale eneo la stesheni ya rel, utaratibu wa watu kuingia na kutoka haujakaa vizuri, nendeni mkakae pamoja na TRC muweke utaratibu mzuri, haieleweki, Rais hawezi kutuelewa”

Hata SGR yenyewe customer care iko poor sanaa yani nauli kutoka dar to ddoma ni 50.000 ila asibihi hiyo hata mteja kupewa hot coffee ya shilling sh 200 na karanga za 100 hamna wakati nauli ni kubwa hata kuliko ya basi.

Watoa huduma hana mda na abiria kuwapa muongozo wako bzy kupiga stori watu wanaangaika kuingia chooni na kutoka, burudani ya TV au Redio hamna, screen yao ni matangaxo tu, ikiendelea hivi baada ya mda mchache hiyo sgr itakua bogus sijui Tanzania nani anaturoga
 
Pia utaratibu wa kukusanya simu ni mbovu Mimi abiria aliondoka na simu yangu nikawaambia hiii simu siyo ya kwangu wakadhani mimi ni mzushi bahati nzuri mteja akurudisha kwavile ticket yake ilikuwa kwenye simu, hili lilitokea kituo cha morogoro mwezi wa saba mwaka jana labda kwasasa wame sasisha

Nikagundua kumbe SGR Kuna fursa nyingi kwanza wahudumu ni wajuaji kuliko abiria kumbe wengine sisi ni wataalamu wa mambo ya electronics

Hiyo mitambo ni kwaajili ya, (metal detector), kutambua kama umebeba chuma ama silaha kwenye simu kuna mabati pamoja na gold
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha ndani ya siku saba wanabadilisha utaratibu huo.

Soma Pia: Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

“Ninawataka Wakurugenzi wote wa majiji lakini hasa Jiji hili la Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Nchi, Mkuu wa Mkoa, Wilaya nendeni mkajipange hasa pale eneo la stesheni ya rel, utaratibu wa watu kuingia na kutoka haujakaa vizuri, nendeni mkakae pamoja na TRC muweke utaratibu mzuri, haieleweki, Rais hawezi kutuelewa”

Nafikiri sio Dodoma pekee
Nilifika Morogoro ambacho ni kituo pengine cha piki kwa ukubwa; pamoja na kuwa hakina usafiri wowote wa umma tofauti na boda na bajaji; mtu akienda na gari anachajiwa kama vile hawataki magari; kushusha abiria hela, kupakia abiria hela, kuacha gari ndio kabisa mahela....na hawajaweka mahala pa kushusha abiria kwa nje lazima uingie gari ndani ili ulipe ndio uweze kugeuka....naona hii haijakaa sawa sawa. Muheshimiwa akapite na huko, hakuko poa....
Hivi kweli kwa karne hii mamlaka inategemea watu 800 wasafirishwe kwa bajaji kwenda kituo cha treni???

Kwa nchi za ULAYA wao wameweka gharama kidogo sana kuacha magari kwani wanashawishi watu watumie treni ili kupunguza msongamano barabarani lakini pia kupunguza hewa ya ukaa/pollution ....mbona hayo mambo mazuri hatuigi???
 
Nafikiri sio Dodoma pekee
Nilifika Morogoro ambacho ni kituo pengine cha piki kwa ukubwa; hakuna usafiri wowote zaidi ya boda boda na bajaji....eti mamlaka inategemea watu 800 wasafirishwe kwa bajaji kwenda kituo cha treni???

Halafu mtu akienda na gari anachajiwa kama vile hawataki magari; kushusha abiria hela, kupakia abiria, hela kuacha gari ndio kabisa mahela....na hawajaweka mahala pa kushusha abiria kwa nje lazima uingie ndani ili ulipe....
Kwa nchi zilizoendelea huweka gharama kidogo kuacha magari kwani wanashawishi watu watumie treni ili kupunguza msongamano barabarani lakini pia kupunguza hewa ya ukaa/pollution ....mbona hilo hatuigi???
Ukifika usiku wa bajaj wanakwambia bk 3 hadi mjini mnachangia mimi niliamua kutembea, upande ule wa wenye makazi, nikaenda kupandia mazimbu road
 
Acha ubahi mkuu utoporwa na vibaka mkuu hao bodaboda wana familia za kulisha wape rizki
Haa nilikuwa na star screw driver ndefuu kibindoni halafu natumia kitochi natembea kama gangwe, kikikiki na mazoezi yangu ya karate ya enzi zile nineteen kweusi, mahesabu yalikataa nilibakiwa na bk5 halafu naelekea kilakala
 
Haa nilikuwa na star screw driver ndefuu kibindoni halafu natumia kitochi natembea kama gangwe, kikikiki na mazoezi yangu ya karate ya enzi zile nineteen kweusi
Watu wana mapanga wrwe unasemea kujihami na bisbisi naona umechoka kuishi panya watakumaliza bure
 
Hata mimi najiuliza. Kitu nilichogundua wali underestimate idadi ya abiria. Station zote (Dar Moro,Dom) zinekuwa ndogo sana kulingana na idadi ya abiria. Na bado idadi itaongezeka
Bei ni kubwa haiwexi kuongezeka itashuka tu tangia hapo ma behewa ni under capacity kubwa unakuta behewa la watu 70 kuna abiria 20 au 15 tu.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha ndani ya siku saba wanabadilisha utaratibu huo.

Soma Pia: Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

“Ninawataka Wakurugenzi wote wa majiji lakini hasa Jiji hili la Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Nchi, Mkuu wa Mkoa, Wilaya nendeni mkajipange hasa pale eneo la stesheni ya rel, utaratibu wa watu kuingia na kutoka haujakaa vizuri, nendeni mkakae pamoja na TRC muweke utaratibu mzuri, haieleweki, Rais hawezi kutuelewa”

Huyu ndiye mkuu wa mkoa!!!
Hayuko serious kwenye mambo ya msingi.
 
Attachments

  • VID-20250128-WA0031.mp4
    28.2 MB
Watu wana mapanga wrwe unasemea kujihami na bisbisi naona umechoka kuishi panya watakumaliza bure
Wewee unacheza na star screw ndefu nikikuchoma Naya tumboni utumbo lazima ukutoke na midamu ya kutosha wakati unashikilia tumbo mimi mbio halafu unapo fanya hivyo ujue Mori umekupanda hiyo inaitwa Ima faima
 
Hata SGR yenyewe customer care iko poor sanaa yani nauli kutoka dar to ddoma ni 50.000 ila asibihi hiyo hata mteja kupewa hot coffee ya shilling sh 200 na karanga za 100 hamna wakati nauli ni kubwa hata kuliko ya basi.

Watoa huduma hana mda na abiria kuwapa muongozo wako bzy kupiga stori watu wanaangaika kuingia chooni na kutoka, burudani ya TV au Redio hamna, screen yao ni matangaxo tu, ikiendelea hivi baada ya mda mchache hiyo sgr itakua bogus sijui Tanzania nani anaturoga
Mkuu umepanda au umesimuliwa? Nauli Dar Dom ni 31,000 ordinary service. Ya bei juu ni Business ambako wanatoa coffee na bites
 
Mkuu naona ilipanda train ya kawaida bila kujua economy class ni 50,000 mtoto chini ya 13yrs ni nusu yake mkuu chunguza zaidi.
 
Back
Top Bottom