LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tena hapo anaongea kwa zereu kubwa sana.
Kiburi watatufanya nini. Ndiyo maana hali kama hii ilitokea huko Liberia. Hawa walikuwa mawaziri.... haipendezi na hatutaki tufike huko. Tutende haki please mchengerwa

Liberian Soldiers Taunt, Shoot 13 Former Leaders​

 
Kwa nini utaratibu mzuri tu usifuatwe kuweka pingamizi ndiyo iwe solution. Kwa uzoefu wangu sijaona pingamizi likawa suluhisho sahihi, maana ni rahisi tu kusema halina merit, na ndio ukawa mwisho. Ona pia mambo yanayotakiwa watu wanapokwenda kutafuta haki mahakamani, mahakama inawaambia "jambo hili si la kisheria, bali ni la kisiasa." Je, Ina maana kuna mambo ya kisiasa yanayofanyika nje ya sheria? Si lazima kila jambo la kisiasa lifanyike kwa mujibu wa sheria? Sasa watu wanaona jambo fulani limefanyika kinyume cha sheria wanakwenda kutafuta haki mahakamani na mahakama inawaambia jambo hilo si la kisheria, kweli?
 
Huu ndio upuuzi wa hali ya juu sana.

Hawa watu wanadhani nchi hii ni mali yao, wanaweza kufanya chochote wanacho weza kufanya. Hii tabia ni lazima ikomeshwe.
 
Ccm ndio italeta fujo tanzania vyombo vya ulinzi tambueni dhamana mliyopewa na taifa ccm wanawatukanisha makusudi tulimshauri jpm hakusikia bado hizi tabia za hovyo zinaendelea ipo siku vyombo vya dola mtajutia huu upuuzi wa ccm na kusema bora tungei crap mapema ila mnasubiri watu waanze kukatana shingo kama leo mnavyoteka wapinzani kwa maelekezo ya ccm laiti mngetusikia sasa tunaoshauri kwa upendo.
 
Huyo ndio waziri kilaza kuliko anaishi kwa nguvu za mama mkwe...nchi nzima wamejaza mabango mama anaupiga mwingi huku bado wanaengua watu plus kuandikusha majina hewa...ccm ilishafariki
 
Sasa watu wanajiandikisha halafu wagombea wa upinzani wanaenguliwa wote kuna uchaguzi sasa hapo?
Kama huoni tofauti kati ya "kususa" na kujibidisha kwa" kujiandikisha" ikiwa ni hatua moja mbele katika juhudi za kushughulikia tatizo husika itakuwa ni kupoteza muda kujaribu kueleza tofauti iliyopo kati ya hizo hali mbili.
 
Kama huoni tofauti kati ya "kususa" na kujibidisha kwa" kujiandikisha" ikiwa ni hatua moja mbele katika juhudi za kushughulikia tatizo husika itakuwa ni kupoteza muda kujaribu kueleza tofauti iliyopo kati ya hizo hali mbili.
Ni upumbavu sn
 
Kuna kitu kinaitwa "hubris". Wanasema kuwa ukate rufaa kwa huyo huyo aliyekukata! Na kama nako hautaridhika ukate rufaa kwa kamati iliyojaa wenzake. Kama kweli wangekuwa wanataka uchaguzi wa haki wangekemea matendo ya watu kujificha ili wasipokee fomu, watu kuweka vituo bandia vya uandikishaji, watu kuandikisha watoto n.k. Na matendo hayo tumeyajua kupitia social media na sio ofisi yake. Wanachotaka sasa kufanya ni kujaribu kujikosha kwa kurudisha wagombea wachache ili waonekane kama wapenda haki.

Matamshi yake ni ushahidi wa kutosha kuwa mfumo mzima wa uchaguzi haufai. Wasitufanye wajinga.

Amandla...
 
M Mchengerwa ni adui wa Taifa no 1, yakitokea yakutokea ajiandae kutangulia ICC
 
Hakuna cha kukata Rufaa , wagombea wote warudishwe bila masharti watu wachague viongozi wanaowataka full sto p , upumbavu huu
 
 

Attachments

  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
 
KAZI YA MAMA MKWE ULIO AGIZWA UMESHA ITIMIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…